Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kisamvu
Faida za kula kisamvu
1. Kisamvu ni kizuri kwa wanawake wajawazito kwani kina vitamin C kwa wingi
2. Husaidia katika kuoamkupa na kwashiookor/kwashakoo aina ya utapia mlo
3. Hutibu kuhara (unasaga majani)
4. Hutibu minyoo
5. Hutibu stroke
6. Huzuia kuzeheka haraka
7. huongeza stamina
8. Huboresha mfumo wa kinga mwilini
9. Husaidia katika kupona kwa vidonda na majeraha kwa haraka
10. Huongeza hamu ya kula chemsha kisamvu, tangawizi na chumvi Kisha kunywa
11. Majani ya kisamvu yakipondwa husaidia kuondoa homa na maumivu ya kichwa
12. Hutibu tatizo la macho kutokuona vyema- chemsha kisamvu, tangawizi na chumvi
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
utajifunza njia za kuzuia kiungulia, dalili za kiungulia na dawa ya kutibu kiungulia.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula asali
Soma Zaidi...Some Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya vitamin K
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea kazi za virutubisho vya protini mwilini
Soma Zaidi...kuhusu vitamini C, kuanzia chanzo chake, maana yake, upungufu wake na kazi zake kwenye miili yetu.
Soma Zaidi...