kuhusu ugonjwa wa Fangasi ya mdomo na ulimi hilo tatizo linanisumbua kwa mda napata muwasho juu ya ulimi naomba ushauli wako ili niweze kutatua hilo tatizo?β
Hivi badovunasumbuliwa na fangasi kwenye mdomo ama ulimi. Ni dawa gani umeshatumia bila mafanikio?.
Swai
? Nilikuwa nasoma kuhusu ugonjwa wa fangasi ya mdomo na ulimi hilo tatizo linanisumbua kwa mda napata muwasho juu ya ulimi naomba ushauli wako ili niweze kutatua hilo tatizo
Jibu:
? Fangasi wa kwenye Kinywa wanatibika. Karibia maduka yote ya dawa dawa za fangasi wa mdomoni zinapatikana. Fika kituo cha afya ikiwa hutapata nafuu.
? Unaweza kutumia fluconazole ama dawa nyingine. Fika kituo cha afya kwa uchunguzi zaidi.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
π1 Simulizi za Hadithi Audio π2 kitabu cha Simulizi π3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) π4 web hosting π5 Dua za Mitume na Manabii π6 Bongolite - Game zone - Play free game
Post zinazofanana:
Dalili za tatizo la nguvu za kiume
Tatizo la nguvu za kiume ni changamoto inayowakumba wanaume wengi duniani, lakini mara nyingi huogopwa kulizungumzia kutokana na aibu au hofu. Hali hii inaweza kuathiri afya ya mwili, akili, na hata mahusiano ya kimapenzi. Kutambua dalili mapema ni hatua muhimu ya kupata matibabu sahihi na kurejesha hali ya kawaida. Katika makala hii, tutachambua dalili kuu za tatizo la nguvu za kiume, sababu zake, pamoja na ukweli muhimu unaopaswa kufahamika
Soma Zaidi...Dalili za UKIMWI kwa Vijana wa Kiume
βPosti hii inatoa mwongozo wa kitaalamu kuhusu dalili zinazoweza kujitokeza kwa kijana wa kiume mwenye maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU). Lengo ni kuondoa unyanyapaa na kuhimiza umuhimu wa kupima na kuanza matibabu mapema.
Soma Zaidi...vidonda vya tumbo, dalili zake, chanzo chake na tiba yake
Makala hii itakwenda kukupa elimu juu ya vidonda vya tumbo, nini hasa chanzo chake, vipi vinatokea ni zipi dalili zake, ni zipi njia za kujilinda dhidi ya vidonda vya tumbo. Pia tutaangalia matibabu ya kutibi vidonda vya tumbo.
Soma Zaidi...WAJUE FANGASI, AINA ZAKE, DALILI ZAKE NA MATIBABU YAKE
Fangasi huweza kuishi na kuathiri maeneo mbalimbali ndani ya mwili.
Soma Zaidi...Athari za kutokunywa maji ya kutosha kwa afya ya figo.
Figo ni kiungo muhimu kinachohusika na kusafisha damu na kudhibiti uwiano wa maji mwilini. Makala hii inachunguza kwa kina uhusiano wa moja kwa moja kati ya ulaji wa maji na afya ya figo. Tutajadili jinsi upungufu wa maji (dehydration) unavyoweza kusababisha magonjwa sugu ya figo, mawe kwenye figo, na shinikizo la damu, pamoja na kutoa mwongozo wa kisayansi wa kiasi sahihi cha maji unachohitaji ili kulinda afya yako.
Soma Zaidi...Dalili za ukomo wa hedhi (Menopause) na jinsi ya kuishi nazo.
Ukomo wa hedhi (Menopause) ni hatua ya kibaolojia ambapo mzunguko wa hedhi wa mwanamke husimama kabisa, ikiashiria mwisho wa uwezo wa uzazi. Hali hii huthibitishwa baada ya mwanamke kupita miezi 12 mfululizo bila kupata hedhi. Ni mchakato wa asili unaosababishwa na kupungua kwa homoni za uzazi (estrogen na progesterone). Ingawa inaweza kuleta changamoto za kimwili na kihisia, mbinu sahihi za kimaisha na matibabu ya ushauri yanaweza kuboresha hali ya maisha kwa kiasi kikubwa.
Soma Zaidi...