Post hii inahusu zaidi mtu aliyekula chakula chenye sumu, chakula chenye sumu ni chakula ambacho kikitumiwa na mtu yeyote kinaweza kuleta madhara kwenye mwili wa binadamu hata kifo.
Zifuatazo ni dalili za mtu aliyekula chakula chenye sumu.
1. Kichwa kuuma sana
- hii utokana na damu chafu iliyo na sumu kuzunguka sehemu za kichwa hatimaye usababisha kichwa kuuuma
2. Kichefuchefu
- mtu aliyekula chakula chenye sumu husikia sana kichefuchefu hii utokea kwa sababu mwili hutaka kutoa sumu nje
3. Kutapika
- mtu aliyekula chakula chenye sumu hutapika Ili kuondoa sumu kwenye mwili na kufanya mwili uwe kawaida
4.Tumbo kuuma
- kwa sababu ya kuwepo kitu kisicho Cha kawaida tumbo uanza kuuma na kujaribu kutoa uchafu ulioingia kwenye mwili
5.joto la mwili kuongezeka
- kwa sababu ya kuwepo sumu kwenye mwili kila kiungo huwa tayari kupigana na kitu kilichoingia mwilini kwa hiyo na joto la mwili hupana
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Hepatitis C ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vinavyoshambulia ini na kusababisha kuvimba. Watu wengi walioambukizwa na virusi vya Hepatitis C (HCV) hawana dalili. Kwa kweli, watu wengi hawajui kuwa wana maambukizi ya Hepatitis C hadi uharibifu wa ini
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi Njia za kufanya Ili kupunguza maumivu ya tatizo la uti wa mgongo, ni njia unazopaswa kufanya pale unapokuwa na tatizo la uti wa Mgongo.
Soma Zaidi...Malaria ni katika maradhi yanayosumbua sana na kusababisha maradhi ya watu wengi sana duniani.
Soma Zaidi...Utajifunza chanzo cha vidonda vya tumbo, dalili zake, dawa na matibabu yake pamoja na njia za kujilinda na vidonda vya tumbo
Soma Zaidi...Hapa utajifunza sababu zinzopelekea mdomo kubadilika ladha na kuwa mchungu, ama mchachu.
Soma Zaidi...Ukimwi ni upungufu wa kinga mwilini.unasababishwa na virusi ambavyo hutokea kwa mtu mwingine kwa njia mbalimbali
Soma Zaidi...Hili ni swali lililowahi kuulizwa na moja ya wasomaji wetu
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea baadhi ya maradhi yanayosababishwa na hali za maisha
Soma Zaidi...