Post hii inahusu zaidi namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa watu waliopata ajali. Ajali ni tukio lisilotarajiwa ambalo kinaweza kumkuta mtu yeyote, tunapotoa huduma ya kwanza tnazingatia rangi ambazo huwakilisha jinsi watu walivyoumia.
Namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa watu waliopata ajali kwa kufuata rangi zinazowakilisha jinsi watu walivyoumia
1.Rangi nyekundu
_ inawakilisha wale waliomahututi na wanahitaji msaada wa haraka Kati ya dakika mbili au tatu.
_ wakicheleweshwa wanaoweza kupoteza maisha
2. Rangi ya njano
_ inawakilisha wale majeruhi wanahitaji msaada Kati ya nusu saa, kwa hiyo ndani ya nusu saa inabidi wapewe huduma
3.Rangi ya kijani
_ ni rangi inayowakilisha wale ambao hawakupata maumivu, lakini kwa sababu ya kuona wengine wameumia na kuda huwa na wasiwasi sana.
_ hawa hawahitaji kutibiwa Ila upelekwa sehemu kwa ajili ya kupumzika na kupewa dawa za matumizi
4. Rangi nyeusi
_ inawakilisha wale waliofariki kwenye ajali, kwa hiyo hawahitaji matibabu yoyote Ila hupelekea kwenye chumba Cha kutunzia maiti.
Kwa hiyo kabla ya kutoa huduma ya kwanza ni lazima kufuata Hali ya majeruhi kulingana na hali zao, zinazowakilisha na rangi
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
Nimeambiwa presha yangu umeshuka iko 90/60 na Nina umri wa miaka 26 KawaidaMtu anatakiwa na kiwango gani Cha presha
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ambavyo mwili unapambana na maradhi
Soma Zaidi...Posti hii inahusu kazi ya chanjo ya kifua kikuu kwa kitaalamu huitwa BCG. Ni chanjo ambayo uzuia kifua kikuu na ukoma.
Soma Zaidi...Maisha ya mtu yanaweza kuwa hatarini ama kupotea mara moja baada ya kunywa sumu.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyeng'atwa na nyuko
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu kazi za vitamin B na makundi take
Soma Zaidi...Ajali ya kichwa na ajali inayotolewa kwenye sehemu mbalimbali za kichwa, ambavyo husababishwa madhara kwa aliyepata ajali hiyo
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi chanjo ya pentavalent ni aina ya chanjo ambayo inazuia Magonjwa matano ambayo ni kifadulo, pepopunda, homa ya ini na magonjwa yanayohusiana na upumuaji.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mambo ya kuangalia kwa mtu aliyepoteza fahamu, kama mtu amepoteza fahamu Kuna mambo muhimu yanapaswa kuangaliwa kwa makini kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...