Posti hii inazungumzia kuhusiana na Faida ambazo anaweza kupata mwanadamu Kama akila bamia Mara kwa mara. Bamia huliwa Kama tunda au Kama mboga pia na husaidia vitu vingi mwilini.
FAIDA
1. Kuondoa vimelea vya sumu kwenye mwili wa mwanadamu.
2.hutuoatia virutubisho aina ya nyuzinyuzi ambavyo husaidia katika kusaga chakula tumboni.
3.Husaidia kuimarisha afya ya Nywele,kupambaa na tatizo la uchovu wa mwili pia na msongo wa mawazo.
4.husaidia kulainisha choo kigumu kwasababu husaidia kulainisha utumbo mkubwa wakati wa mmeng'enyo wa chakula.
5. Husaidia kutibu na Kupunguza maumivu kwa wale wenye Vidonda vya tumbo, Kwan bamia huweza kutibu kabisa Vidonda vya tumbo ambavyo bado havijawa sugu (chronic).
6. Husaidia pia kwa wenye kisukari kwasababu ya Uwezo wake wa kumsaidia kuyeyusha au kumeng'enya chakula.
7.pia huweka sawa mfumo wa sukari mwilini.
8.huboresha Kinga ya mwili.
9.husaidia mwili kusafisha Damu.
10.husaidia mwili kukabiliana na Magonjwa mbalimbali Kama vile Saratani.
11.ina vitamin C.
12.Husaidia pia kutibu tatizo la upungufu wa Damu mwilini. Kwani ukila bamia Mara kwa Mara husaia kuongeza Damu.
13.kuimarisha mfumo wa kuona kwa sababu Ina chanzo kizuri Cha vitamini A.
14.huimarisha mifupa, ata Kama umevinjika au unatatizo la mifupa ukitumia bamia Mara kwa Mara huimarisha mifupa yako.
15.husaidia Kupunguza Ugonjwa wa kansa na pia kuepusha kupata kansa.
16.pia husaidia mishipa midogo midogo ya kwenye Damu.
Mwisho: Bamia Ni nzuri na Zina Faida endapo zikitumiwa Mara kwa Mara Lakini sio kwamba Kama unaugonjwa wowote ndio usitumie Dawa hapana. Dawa zako Tumia kwa usahihi pia na bamia utumie zitakusaidia.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula chungwa/orange
Soma Zaidi...Kitunguu saumu ni tiba mbadala ya presha yabkushuja. Hakitatui tatizo yaani hakiponyeshi, ila husaidia katika kushusha presha iliyo panda.
Soma Zaidi...kuhusu vitamini K, wapi tutavipata, ni zipi athari zake na ni zipi kazi zake mwilini.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ya kuwepo kwa vyakula vya kisasa, vyakula vya kisasa ni vyakula vya madukani ambavyo vimetengenezwa na kuwekwa kwenye maduka
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula bamia
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula viazi mbatata
Soma Zaidi...Tangaizi ni katika mimea yenye asili na bara la asia hususan nchi ya China.
Soma Zaidi...Fida za matunda huanzia kwenye rangi zake, je unajuwa kama rangi ya matunda inaeleza jambo?
Soma Zaidi...