Nguzo za uislamu (EDK form 2; dhana ya elimu ya uislamu)
Funga ya Ramadhani na zinginezo.
Maana ya swaumu (funga).
Kilugha: Kujizuilia kufanya jambo lolote ulilolizoea kulifanya.
Kisheria: Ni kujizuilia na kila chenye kufunguza kuanzia Alfajir ya kweli hadi
kuzama jua.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Unajuwa namna ambavyo matumizi ya mali yako, yanavyogawanywa? Jifunze hapa mgawanyiko wa mali yako.
Soma Zaidi...Haki na uadilifu katika uislamu (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Post hii itakufundisha kuhusu funga za kafara, zinavyotokea na na jinsi ya kuzifunga.
Soma Zaidi...Kutawadha ni katika ibada muhimu za mwanzo kutakiwa kuzijuwa na ni lazima. Swala yako haitaweza kutimia bila ya kujuwa udhu. Inakupasa kujuwa nguzo za udhu, yanayoharibu udhu na namna ya kutawadha kifasaha. Hapa utajifunza hatuwa za kutawadha
Soma Zaidi...