Huduma kwa mtoto mwenye matatizo ya upumuaji
Posti hii inahusu zaidi huduma kwa mtoto mwenye shida ya kupumua, mtoto kama ana shida ya kupumua tunaangalia dalili kwanza na baadaye tunaweza kutoa huduma kulingana na Dalili.
Huduma kwa mtoto mwenye shida ya kupumua.
1.Kwanza kabisa tunapaswa kumwangalia mtoto kama anakoroma akiwa hayuko usingizini , kama anaonekana anakoroma inawezekana kuwa ni Dalili ya pneumonia na mtoto apewe antibiotics na pia dawa hizi utolewa na daktari.
2. Pia mtoto anapaswa kuangaliwa kama anapumua anatoa ka sauti kama mlio fulani hivi ambao kwa kitaalamu huitwa wheezing sound , mtoto anapaswa kupewa dawa za amoxicillin na dawa hizi zinatolewa hospitalini na mtoto anapaswa kuzitumia kwa mda wa siku tano.
3. Pia mtoto anaweza kuwa anapumua kwa haraka sana hiyo nayo inawezekana kubwa ni Dalili ya pneumonia kwa hiyo mtoto anapaswa kupewa dawa ya kunusa au kupuliza puani ili kuweza kuzibua kifua kwa kutumia dawa ambazo huitwa bronchodilator kwa mda wa siku tano .
4.kwa hiyo tunajua kabisa mtoto akipumua kwa shida ni Dalili ya hatari kwa mtoto kwa hiyo kama yuko nyumbani anapaswa kupelekwa hospitali haraka sana ili aweze kupata huduma mapema kwa sababu mtoto akitibiwa mapema anaweza kupona haraka kuliko kusubiri mda ukaenda hali hii usababisha madhara makubwa zaidi.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game 👉2 Dua za Mitume na Manabii 👉3 ai web app 👉4 Simulizi za Hadithi Audio 👉5 kitabu cha Simulizi 👉6 web hosting
Post zinazofanana:
Vyakula hatari kwa mjamzito mwenye mimba na mimba changa
Vyakula hivi hapasi kuvila mwanamke mwenye ujauzito kwa kiasi kikubwa, hasa yule mwenye mimba chaga
Soma Zaidi...Sababu za wajawazito kupata Bawasili.
Posti hii inahusu zaidi sababu mbalimbali ambazo zinafanya wajawazito kupata ugonjwa wa Bawasili, kwa sababu tatizo hili linawapa wakina mama wajawazito, kwa hiyo tutaona kwa nini wajawazito wanapatwa na tatizo hili sana.
Soma Zaidi...Ukweli kuhusu njia za uzazi wa mpango.
Posti hii inahusu zaidi ukweli kuhusu njia za uzazi wa mpango, sio kwa imani potofu ambazo Watu utumia kuelezea uzazi wa mpango.
Soma Zaidi...Sababu za Mayai kushindwa kuzalishwa kwa mwanamke
Posti hii inahusu zaidi sababu za kushindwa kuzalishwa mayai kwa mwanamke, ni tatizo ambalo utokea kwa mwanamke ambapo mwanamke anashindwa kuzalisha mayai.
Soma Zaidi...Vyanzo vya kuharibika kwa mimba ya miezi kuanzia 0-3
Posti hii inahusu zaidi vyanzo vya kuharibika kwa mimba kuanzia miezi zero mpaka miezi mitatu, kwa sababu hii ni miezi ya kwanza kabisa Kuna sababu au vyanzo vya kuharibika kwa mimba katika kipindi hiki.
Soma Zaidi...