Posti hii inaelezea namna mwanamke anavyoweza kupata Ugonjwa wa Maambukizi ya mfumo wa Uzazi.
Mwanamke anapataje Ugonjwa wa Maambukizi ya mfumo wa Uzazi PID?
Mwanamke atapata Ugonjwa huu kupitia Mambo Yafuatayo;
1.kupitia ngono zembe, yaani mwanamke anapojamiina anatakiwa kuwa makini kwani ngono nyingine hupelekea kupata Magonjwa hivyo Ni vyema kujikinga na kuhakikisha usalama Kati yake na mwenza wake.
2.kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja, pia hupelekea Maambukizi kutokana na kujamiina na wanaume wengi, hivyo wanawake wanatakiwa kuwa angalau na mtu mmoja kipenzi.
3.kupitia Magonjwa ya zinaa Kama vile kisonono, kaswende na yenyewe husababishwa na ngono zembe.
4.kupitia kunyonywa ukeni Mara kwa Mara.
5.kuweka vitu ukeni ili kuufanya uke ubane au upendeze ili kumfurahisha mpenzi wako.
6.utoaji wa mimba alaf kukosa isafishaji mzuri baada ya kutoa mimba.
7.kupitia Njia ya kujifungua Kama wakunga hawakuwa vizuri au makini.
8.kutumia madawa na Njia ya Kuzuia mimba kwa vijiti na sindano.
9.kupitia UTI sugu.pia huweza kusababisha Maambukizi ya mfumo wa Uzazi wa mwanamke .
10.kufanya mapenzi bila kuitumia kondomu.
Mwisho; wanawake wanatakiwa kuwa makini wakiona Dalili za Maambukizi ya mfumo wa Uzazi na wajikinge na vitu au vishawishi vinavyopelekea kupata Ugonjwa huu.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Je unasumbuliwa na maumivu ya tumbo. Unadhani ni dalili za mimba na ukapima hakuna mimba.
Soma Zaidi...Je unaweza kunielezaKwa mjamzito kuumia wakati wa tendo la ndoa tatizo linaweza kuwa ni nini?
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi huduma muhimu anazopaswa kupewa mama mjamzito wakati akiwa na mimba, wakati wa kujifungua na baada ya kujifungua yaani ndani ya masaa ishirini na manne, tunajua wazi kuwa Mama akiwa mjamzito anaweza kupata matatizo mbalimbali kwa h
Soma Zaidi...Wajawazito wamekuwa wakisumbuliwa sana na kiungulia, makala hii itakujulisha njia za kukabiliana na kiungulia, dalili zake na dawa zake
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na Mambo ambayo mama mjamzito anatakiwa kuzingatia katika kipindi Cha ujauzito au mimba
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi huduma ambayo Mama anapaswa kutolewa pindi mimba inapotishia kutoka huduma hii utolewa kulingana na Dalili tulizoziona zinazohusiana na mimba kutishia kutoka.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi maji ya Amniotic ni maji ambayo uzunguka mtoto na kufanya kazi mbalimbali kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...