Posti hii inahusu zaidi uchunguzi wa kuharisha damu na Tiba yake, ni Ugonjwa ambao unaowashambulia sana watoto hasa wenye chini ya umri wa miaka mitano, kwa hiyo huoaugonjwa tunaweza kuutambua na kutibu kwa njia zifuatazo.
2.Tunapaswa kuangalia kama kiasi cha choo ni kidogo au kikubwa,pia tunapaswa kuangalia kama kiwango cha damu kwenye nchoo ni cha namna gani, pia tunapaswa kumwangalia mtoto kama ana homa au kuangalia kiasi cha Maumivu kwenye chini ya tumbo na kuangalia kama mtoto anakula.
3.Pia tunapaswa kuangalia kiasi cha maji mwilini kwa kuangalia Dalili kama vile mwili kubadilika, mapigo ya moyo kubwa kidogo kwa hiyo tunapaswa kuhakikisha kama Dalili za maji kuisha mwilini na kama zipo tunapaswa kutibu kiasi cha maji mwilini.
4.Kama kuna Maambukizi unapaswa kutibu maambukizi hayo kwa kutumia antibiotics zinazopaswa kutumika kwa kufanya hivyo tutaweza kutibu tatizo hili kwa hiyo dawa hizi tunapaswa kuzitumia kwa kufuata maagizo ya wataalamu wa afya.
5.Pia kama mtoto ameishiwa na maji mwilini tunapaswa kutibu tatizo hilo kwa kumpatia oral solution na kumpatia maji kwa kupitisha kwenye mishipa akiwa hospitali kwa hiyo hatupaswi kukuaa na mtoto anayeharisha damu nyumbani kwa sababu unaweza kukuta labda kuna Maambukizi kwenye utumbo kwa hiyo pindi tuonapo kinyesi chenye damu mpeleke Mgonjwa hospitalini mara moja kwa ajili ya huduma.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi maambukizi kwenye uume, maambukizi hata utokea kwenye kichwa Cha uume kwa kitaalamu huitwa Balanitis, zifuatazo ni sababu za kuwepo kwa ugonjwa huu.
Soma Zaidi...Karibia fangasi wote hawa wanatibika bila ya ugumu wowote maka mgonjwa atakamilisha dozi.
Soma Zaidi...Hakuna dawa ya UKIMWI ya kutibu kuondoa virusi mwilini, lakini zipo dawa za kuweza kupunguza makali ya virusi hawa. Hivi unesha jiuliza kuwa je zile dawa zinaongeza damu?
Soma Zaidi...Je unahitaji kujuwa kama umepata ujauzito baada ya kufanya tendo la ndoa? hakika sio rahisi ila kama utakuwa makini utaweza.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea ikiwa Ugonjwa huu wa ukimwi ukishasmbaa kutoka sehemu moja kwenda nyingine na kuleta madhara makubwa kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...posti inaonyesha dalili mbalimbali za Saratani ya ini. Saratani ya ini ni Saratani inayoanzia kwenye seli za ini lako. Ini lako ni kiungo cha ukubwa wa mpira wa miguu ambacho kinakaa sehemu ya juu ya kulia ya tumbo lako, chini ya diaphr
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu za wanawake kuwa na maumivu kwenye viungo, ni ugonjwa unaowapata na wanaume ila kwa wanaweza unaowapata sana ukilinganisha na wanaume.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu presha ya kushuka na matibabu yake
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...