Aina mbalimbali za maumivu ya mwili.
Posti hii inahusu zaidi aina mbalimbali ya maumivu ya mwili, Maumivu ya mwili utokea kwa aina mbalimbali kama ifuatavyo.
Aina mbalimbali ya maumivu ya mwili.
1.Kuna maumivu yanayotokea kwenye sehemu ya juu ya mwili na hasa hasa maumivu haya utokea kwenye ngozi, kuna kipindi unahisi maumivu kwenye ngozi hasa mtu akiungua.
2. Kuna maumivu ya ndani kabisa ya mwili ambayo uweza kuingilia na misuli,joint na ogani nyingine kwenye mwili haya maumivu yanakuwa makali na yasipotibiwa yanaweza kuleta kitu kingine kisichotarajiwa.
3. Kuna maumivu ambayo yanatokea kwenye sehemu moja ya kiungo cha mwanadamu kumbe chanzo kipo sehemu nyingine kwa mfano mtu anaumwa mgongo lakini maumivu yako kwenye miguu na mgongo wenye shida hata hauna maumivu hata kidogo, tatizo hili ugunduliwa na vipimo vya hali ya juu.
4. Kuna maumivu mengine ya kukata kiungo cha binadamu kwa mfano mtu aliyekutwa mguu kwa sababu ya ugonjwa wa kisukari au kwa sababu ya kuoza kwa mguu.
5. Maumivu kisaikolojia haya ni maumivu ambayo uwapata Watu wengi walioumizwa na wapenzi wao haya maumivu uwapata sana wachumba na wapenzi pale mmoja anapoamua kumsaliti mwingine.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Madrasa kiganjani 👉2 Dua za Mitume na Manabii 👉3 Kitabu cha Afya 👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉6 Bongolite - Game zone - Play free game
Post zinazofanana:
Huduma ya Kwanza kwa mtu aliyezimia
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyezimia
Soma Zaidi...Namna ugonjwa wa herpes simplex unavyosambaa.
Posti hii inahusu zaidi namna ya ugonjwa wa vipele kwenye midomo na sehemu za siri unavyoweza kuenea kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.
Soma Zaidi...Jinsi mimba inavyotungwa mpaka mtoto kuingia kwenye mfuko wa uzazi
Post hii inahusu zaidi namna mimba inavyotungwa mpaka mtoto kuingia kwenye mfuko wa uzazi, mimba kutungwa ni kitendo ambapo mbegu za kiume kuungana na yai la kike na kutengeneza zygote.
Soma Zaidi...Utajuwaje kama kidonda kupona
Posti hii inahusu zaidi juu ya kuhakiki kama kidonda kimepona kwa mgonjwa mwenye vidonda, kwanza kabisa tunajua kuwa vidonda uwanyima Watu raha na pengine kuwafanya wakate tamaa kama wapo hospitalini kwa hiyo tunapaswa kutumia njia zifuatazo ili kuweza ku
Soma Zaidi...