Posti hii inahusu namna unavyoweza kumtambua mtoto mwenye Ugonjwa wa Nimonia na tiba anayopaswa kupata mtoto mwenye Nimonia
Uchunguzi wa Nimonia kwa mtoto na Tiba.
1. Kwanza kabisa tunapaswa kujua kuwa Nimonia ni mojawapo ya ugonjwa unaowasumbua sana watoto wadogo chini ya miaka mitano, hasa ugonjwa huu ushambulia sehemu za upumuaji, pia uweza kumfanya mtoto kupumua vibaya au kukoroma kwa mtoto kwa hiyo tunaweza kumtambua mtoto kwa njia zifuatazo.
2. Kwanza kabisa tunapaswa kuangalia Dalili za habtari kwa mtoto ambazo ni pamoja na kushindwa kula au kunyonya na pia kutapika kila kitu, pia unapaswa kuangalia kama mtoto ana kihozi au anapumua kwa shida kwa kufanya hivyo unaweza kugundua kwamba mtoto ana Nimonia au la.
3. Pia unapaswa kuangalia kama mtoto anapumua kawaida? Au anatumia mda mrefu kufuta hewa? Au kuangalia kama mtoto ana homa au vipi? Pia inaangalia kama mtoto anaweza kula au kunyonya.
4.Kama mtoto anakoroma wakati wa kupumua anapaswa kupata huduma za haraka na pia ukiona na kupumua kwake ni kwa shida mpatie dawa zinazofaa kwa Nimonia dawa ambayo anapaswa kutumia ni amoxicillin na pia matumizi yake ni kwa maagizo ya daktari kufuatana na umri pamoja na uzito wa mtoto.
5.Kwa hiyo wazazi na walezi wanapaswa kutambua ugonjwa wa Nimonia na Dalili zake ili waweze kutibu na pia wanapaswa kuhakikisha kuwa watoto wao wanapata tiba kadri ya hali ya ugonjwa
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kwa sababu ya kutumia vidonge vya uzazi wa mpango kwa akina dada.
Soma Zaidi...Je na wewe ni moja kati ya wake ambao wanahitajivkujuwa siku za kupata mimba. Ama siku za competes mwanamke mimba. Post hii ni kwa ajili yako.
Soma Zaidi...Jifunze namna ya kuthibitisha dalili za ujauzito kuwa ni za kweli. Tambuwa namna ya kupima mimba na muda mujarabu wa kupima
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi upungufu wa homoni ya estrogen na dalili zake, aina hii ya homoni ikipungua mwilini uleta madhara na matatizo mbalimbali kwenye mwili.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kwa wale wenye tabia ya kutoa mimba mara Kwa mara .
Soma Zaidi...Kutokwa na damu baada ya tendo la ndoabkunaweza kuashiria kuwa kuna majeraha yametokea huwenda ni michubuko ilitokea ndio ikavujisha damu. Lakini kwa nini hali kama hii itokee. Posti hii itakwwnda mujibu swali hili.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za kujifungua hatua kwa hatua
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa kunyonyesha mtoto, kunyonyesha ni kitendo cha Mama kutumia titi lake Ili kuweza kumpatia mtoto lishe kwa kipindi chote ambacho Mama upaswa kutumia kwa kunyonyesha mtoto wake kwa hiyo Kuna faida ambazo mama uzipata kutoka
Soma Zaidi...Kuna njia nyingi zinatajwa zinapima mimba kama chumvi, sukari, mafuta na sabuni. Hata hivyo zipo njia zaidi ya 10 za kiasili za kupima ujauzito. Utajifunza hapa zote
Soma Zaidi...