Wanaostahiki kupewa sadaqat
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
- Wanaostahiki kupewa Sadaqat.
Kwa mujibu wa Qur’an (4:36) na (51:9);
- Sadaqat hupewa wale wale wanaopewa Zakat lakini bila kiwango au muda
maalumu au kufikia nisaab.
- Sadaqat hupewa mwanaadamu yeyote hata wasiokuwa Waislamu ikiwa tu ni
mwenye kuhitajia.
- Kila muislamu anao uwezo wa kutoa sadaqat, kwani inahusika na kutoa mali,
huduma, tabia nzuri, n.k.
Rejea Qur’an (2:263).
- Pia haifai kurejesha sadaqat baada ya kuitoa.
Rejea Hadith ya Umar (r.a); Kitabu cha 2; EDK. Uk. 80.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 web hosting 👉2 kitabu cha Simulizi 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉5 Kitabu cha Afya 👉6 Simulizi za Hadithi Audio
Post zinazofanana:
Tofauti kati ya zakat na sadaqat
Nguzo za Imani, tofauti kati ya sadaqat na zakat (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Twahara na umuhimu wake katika uislamu
Katika post hii utajifunza maana ya twahara kiligha na kishria. Pia utajifunza umuhimu wake
Soma Zaidi...