Somo hili linaeleza kwa undani kuhusu maambukizi ya fangasi kwenye sehemu za siri kwa wanawake na wanaume. Litaangazia chanzo, dalili,...
Somo hili linaeleza aina kuu za maambukizi ya fangasi yanayoathiri ngozi ya binadamu. Litaangazia fangasi wa nje ya mwili wanaosababisha...
Somo hili linaeleza kwa kina maana ya fangasi, namna wanavyoishi na kuathiri mwili wa binadamu, pamoja na aina kuu za...
Somo hili linaeleza aina tatu za maji katika fiqh ya Kiislamu: maji safi yanayotwaharisha (ṭāhūr), maji safi yasiyotwaharisha (ṭāhir ghayr...
Huyu ni Sahaba ambaye Allah alituma jeshi la Nyuki kulinda Maiti yake, wakati makafiri walitaka kukata kichwa chake
Somo hili linaeleza maana ya twahara, aina zake kuu mbili (ya hadath na khabath), pamoja na njia na vifaa vya...
Somo hili linaeleza hukumu tano za matendo ya Kiislamu: Faradhi, Sunnah, Mubah, Makrūh, na Harām, pamoja na maana ya kila...
Katika somo hili utajifunza kuhusu property muhimu ya CSS inayoitwa display, ambayo huamua jinsi element inavyoonyeshwa kwenye ukurasa. Tutachambua aina...
Katika somo hili, utajifunza jinsi ya kudhibiti upana (width) na urefu (height) wa elementi katika CSS. Pia utaelewa tofauti kati...
Katika somo hili, utajifunza jinsi ya kudhibiti mipaka (borders) ya vipengele kwa kutumia CSS. Tutajifunza namna ya kuweka unene wa...
Katika somo hili utajifunza muundo wa boksi (Box Model) katika CSS. Box model ni mfumo wa msingi wa kupanga vipengele...
Katika somo hili utajifunza tofauti kati ya margin na padding, kazi ya kila moja, jinsi ya kuzipima, na jinsi zinavyotumika...
Somo hili linazungumzia homa ya matumbo, ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na bakteria wa aina ya Salmonella typhi.
Somo hili linahusu ugonjwa wa kipindupindu – ugonjwa wa kuambukiza unaoathiri mfumo wa mmeng’enyo wa chakula na kusababisha kuharisha maji...
Katika somo hili, utajifunza mbinu mbalimbali za kubadilisha muonekano wa maandishi kwa kutumia CSS, kama vile kupamba maandishi kwa mistari,...
Katika somo hili utajifunza jinsi ya kudhibiti mwonekano wa maandishi kwa kutumia fonti kwenye CSS. Utajifunza jinsi ya kubadilisha aina...
Katika somo hili, utajifunza jinsi ya kudhibiti muonekano wa sehemu ya nyuma (background) ya HTML element kwa kutumia CSS. Utaweza...
Hapa utajifunza kuhusu misingi ama asili ya sheria za uislamu. Je waislamu wanapasa kuchukuwa wapi sheria za matendo katika Uislamu
Somo hili linaanza kwa kuelezea maana ya Uislamu kama mfumo kamili wa maisha unaojengwa juu ya imani na utiifu kwa...
Sura hii ni msingi wa Qur’an yote; inafundisha tauhidi, ibada, dua, na hofu kwa Allah. Haina sababu ya kushuka iliyo...
Elimu ya Asbāb an-Nuzūl huchunguza sababu za kushuka kwa aya. Somo hili linaeleza aina kuu za sababu hizo na namna...
Hii ni tafiti ambayo itakushangaza, kwa namna ambavyo matumizi ya AI yalivyo na athari kwenye uwezo wa kufikiri
Katika somo hili utakwend akujifunza ktengeneza model kwa ajili ya database table ya menu yetu.
Simulizi hii inamfuata kijana anayeingia bila kujua kwenye safari ya siri kubwa ya kihistoria, akiifungua milango ya kale inayoficha ukweli...
Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.