Posti hii inaonyesha ishara na dalili za Saratani ya utumbo mdogo
Dalili na ishara za saratani ya utumbo mdogo ni pamoja na:
1. Maumivu ya tumbo
2. Ngozi kuwa na manjano na weupe wa macho (jaundice)
3. Kuhisi udhaifu au uchovu usio wa kawaida
4. Kichefuchefu
5. Kutapika
6. Kupungua uzito
7. Damu kwenye kinyesi, ambayo inaweza kuonekana nyekundu au nyeusi
8. Kuhara kwa maji
Jinsi ya kujizuia na ugonjwa wa Saratani ya utumbo mdogo.
1. Kula aina mbalimbali za matunda, mboga mboga na nafaka. Matunda, mboga mboga na nafaka nzima zina vitamini, madini, nyuzinyuzi ambayo inaweza kusaidia kupunguza hatari ya saratani na magonjwa mengine.
2. Punguza kunywa pombe kupita kuasi ikiwezekana acha kabisa. Ukichagua kunywa pombe, punguza kiwango cha pombe unachokunywa kisizidi kinywaji kimoja kwa siku .
3. Acha kuvuta sigara. Tafuta njia mbadala ambazo zitakutengenezea mazingira ya kuacha kabisa kuvuta sigara au kutumia tumbaku.
4. Fanya mazoezi . Jaribu kupata angalau dakika 30 za mazoezi.
5. Punguza uzito wako kama ni mkubwa kulingana na afya yako. Ikiwa una uzito mzuri, fanya kazi ili kudumisha uzito wako kwa kuchanganya chakula cha afya na mazoezi ya kila siku.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Zijuwe sababu kuu zinazokufanya ukahisi maumivu makali ya tumbo kwa chini upande wa kushoto
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu athari za kutokutibu fangasi
Soma Zaidi...Virusi vya korona ni katika aina za virusi ambavyo asili yake ni kutoka kwa wanyama na kuja kwa binadamu.
Soma Zaidi...Hapautajifunza rangi kuu za mkojo na dalili zako kiafya, mkojo mchafu na dalili zake
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia dalili na namna ya kujikinga tusipate mafua .mafua kwa jina lingine hujulikana Kama baridi ya kawaida (common cold).baridi ya kawaida husababishwa na virusi kwenye pua na hutoa makamasi.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kupambana na fangasi
Soma Zaidi...Mawe ya kibofu ni mkusanyiko mgumu wa madini kwenye kibofu chako. Mawe kwenye kibofu hukua wakati mkojo kwenye kibofu chako unapokolea, na kusababisha madini katika mkojo wako kung'aa.
Soma Zaidi...Kabla ya kubanwa zaidi na pumu, kuna dalili za awali zinzznza kujitokeza, na hapo ndipo utakapoanza kuchukuwa tahadhari. Makala hii itakwenda kukujulisha zaidi kuhusu dalili hizo.
Soma Zaidi...