Hakuna siri chini ya juwa, Amani anagunduwa siri nzito ya Bibi yake na mauwaji ya kale
atika somo hli tutakwenda kujifunza kuhusu kitu kinachitwa cron job. ni moja ya teknolojia zinazotumika kufanya kazi zinazofanyika automatic
Mchezo wa Hatari, Amani akiwa kwenye hatari sana, je ataweza kufikia malengo yake. Na sasa anaingia kwenye mchezo wa hatari
Amani anafanikiwa kuwakimbia watu waliotaka kumuuwa, ilaje ataweza kutoka salama msituni?
Hatuwa nyingine ngumunzaidi mbele ya Amani. Nini kitatokea kwenye Mshale wa giza?
Hii ni Dua inayisomwa unapoingia nyumbani
Hii ni hutuba ya ndoa kwa ufupi, Imekusanya mambo ya msingi yanayohitajika katika hutuba ya ndoa
Ukweli una gharama, je Amani yupo tayari kulipa arama hiyo, haya yalikuwa maswali ya mzee huyu wa ajabu kumuuliza amani
Amani akiwa anaendelea kufonyokoa siri za zamani, hatimaye anakwenda kukutana na siri nyinginezo
Katika kivuli cha Mnazi Amani anakwenda kugunduwa siri nyingine. Huu ni mwendelezo wa siri ya kale. Je ni nini kitatokea.
Amani sasa anaingia kwenye kazi rasmi ya kufichuwa habari ya kale kuhusu mauwaji ya kikatili, na sasa anaelekea hatuwa ya...
Alama zilizopo kwenye ramani, zimnatengeneza taswira ya nini kilitokea miaka za kale
Bibi mama Nyawira alikuwepo miaka hiyo, ni katika ambao walizika siri hii kwa miaka mingi. Sasa kwa mara ya kwanza...
Upepo wa Ajabu wenye sauti za kushangaza, unampeleka Amani kwneye hifadhi ya siri ya Kale.
Katika somo hili utakwend akujifunz abaadhi ya wanawake ambao wameshiriki vita vya uhudi na kutoa mchango mkubwa. Wanawake hawa wapo...
Hili ni somo la mwisho katika mfululizo huu wa ORM, kupata ujuzi zaidi endelea kusoma ORM nyinginezo ambazo nimetangulia kuzitaja...
Katika somo hili utakwend akujifunz ajinsi ya kuandika query ndani ya ORM. Hii inakupa uhuru wa kufanya kileunachotaka bila ya...
Katika somo hili utakwenda kujifunza Jinsi ya kutumia ORM kwa kutumia library ya RedBeanPHP
Somo hili litakwenda kukutajia baadhi ya library za php ambazo hutumika kwa matumizi ya ORM
Katika somo hili utakwenda kujifunz akuchakata data zaidi kw akutumia ORM kama ku join table
Katika somo hili utakwenda Jinsi ya kutengeneza ORM inayofanya CDRUDE operation.
Katika somo hili uttakwend akujifunz ajinsi ambavyo utaweza kutengeneza simple ORM yakwako mwenyewe
Katika somo hili utakwenda kujifunzo kuhusu teknolojia ya ORM na inavyotumika kulinda usalama wa database
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu mmwanamke shujaa anayejulikana kwa jina la Naseebah bint Ka'ab (Nusaybah bint Ka'ab) mwanamke aliyemlinda...
Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.