Katika somo hili utajifunza jinsi ya kudhibiti mwonekano wa maandishi kwa kutumia fonti kwenye CSS. Utajifunza jinsi ya kubadilisha aina ya fonti, ukubwa, mtindo, unene, na mpangilio wa maandishi ili yaweze kuonekana kwa mvuto na usomaji bora.
Inatumika kuchagua aina ya fonti ya maandishi.
p {
font-family: Arial, sans-serif;
}
Unashauriwa kuandika fonti zaidi ya moja, ya kwanza ikiwa unayoitaka zaidi, nyingine kama backup.
Generic families: serif, sans-serif, monospace, cursive, fantasy
Inadhibiti ukubwa wa maandishi.
h1 {
font-size: 30px;
}
Unaweza kutumia px, em, rem, %, n.k.
Mfano: font-size: 1.5em;
Inaonyesha unene wa maandishi (boldness).
strong {
font-weight: bold;
}
Vingine: normal, lighter, 100 hadi 900
Inatumika kubadilisha mtindo wa maandishi, kwa mfano italiki.
em {
font-style: italic;
}
Chaguzi:
normal
italic
oblique
Inadhibiti nafasi kati ya mstari na mstari (msitari mmoja hadi mwingine).
p {
line-height: 1.6;
}
Inasaidia maandishi yasibane sana au kuwa na nafasi nzuri ya kusomeka.
Inatumika kubadilisha he">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili, tutajifunza kuhusu @import — amri inayotumika kuingiza faili moja la CSS ndani ya jingine. Tutaona namna ya kuitumia, faida zake, hasara zake, na tofauti kati yake na njia mbadala ya <link> ndani ya HTML.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza maana ya CSS, pia nitakujulisha kazi zake. Mwisho utatambuwa historia ya CSS toka kuanzishwa.
Soma Zaidi...Katika somo hili, utajifunza vipengele vya juu zaidi vya Flexbox: flex-wrap, flex-grow, flex-shrink, na flex-basis. Pia tutajifunza jinsi ya kujenga muundo wa safu (rows) na nguzo (columns) kwa kutumia Flexbox layout.
Soma Zaidi...Katika somo hili, tutajifunza kuhusu CSS functions muhimu zinazotumika kufanya mahesabu, kuweka vipimo vya kisasa vinavyobadilika kulingana na hali ya kifaa, na kutumia variables. Tutazingatia functions kama: calc(), clamp(), var(), min(), max(), na mwishoni tutajifunza jinsi ya kutengeneza custom function kwa kutumia variables.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza aina tano za kuweka rangi kw akutumia css
Soma Zaidi...Mfano wa kitu kinachoweza kumaba mtoto kooni ni kama chagula kigumu, pesa ya sarafu, kijiwe na mengineyo. Endapo hili litataokea msaada wa haraka unahitajika kwa ulazima.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza muundo wa boksi (Box Model) katika CSS. Box model ni mfumo wa msingi wa kupanga vipengele katika ukurasa wa HTML, ukiwa na sehemu kuu nne: content, padding, border, na margin.
Soma Zaidi...Katika somo hili, utajifunza vipimo vinavyotumika kwenye CSS kama vile px, em, rem, %, vw, na vh. Vipimo hivi hutumika kuweka ukubwa wa maandishi, padding, margin, urefu, na upana wa vipengele kwenye tovuti.
Soma Zaidi...Katika somo hili, utajifunza mbinu mbalimbali za kubadilisha muonekano wa maandishi kwa kutumia CSS, kama vile kupamba maandishi kwa mistari, kivuli, nafasi kati ya herufi, na mpangilio wa maneno.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutajifunza kuhusu CSS frameworks mbalimbali zinazosaidia kuharakisha uundaji wa mitindo kwenye tovuti. Tutazungumzia frameworks maarufu kama W3.CSS, Bootstrap, Google Fonts, na nyinginezo, faida, matumizi, na tofauti zao.
Soma Zaidi...