Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa kutumia maharage kwa wingi, maharage ni aina ya chakula ambacho upatikanaji wake ni rahisi na watu wengi hawajui kwa ulaji wa maharage una faida kubwa sana mwilini kwa hiyo tunapaswa kuangalia faida za maharage kama ifua
Umuhimu wa kutumia maharage.
1. Maharage usaidia kupunguza kiasi cha mafuta mwilini ambacho kwa kitaalamu huitwa cholesterol.
Tunajua kuwa mawili kuna wakati mwingine kunakuwepo na mafuta mengi lakini kwa sababu ya kuwepo kwa ulaji wa maharage kwa kiasi kikubwa upunguza mafuta mwilini.
2. Pia maharage usaidia kupunguza kansa.
Kwa sababu ya kuwepo kwa madini ya magnesium na na vitamini K uzuia kiasi cha kuaribika kwa seli kwa hiyo tunapaswa kutumia sana maharage kwa sababu ya kuwepo kwa faida nyingi.
3. Pia maharage usaidia kuboresha ubongo.
Kwa kawaida tunajua kwenye maharage kuna thamine na vitamini K ambayo usaidia kwa kiasi kikubwa kazi kwenye ubongo.
4. Upunguza kiasi cha sukari mwilini.
Kwa kawaida tunajua kuwa wagonjwa wa kisukari wanapaswa kutumia maharage kwa wingi kwa sababu usaidia kuzuia makali ya sukari kwa sababu ya kuwepo kwa kiwango cha protini kwa wingi.
5. Uongeza nguvu mwilini kwa sababu ya kuwepo kwa kiwango kikubwa cha protini.
6. Pia maharage uimarisha mifupa kwa kukwepo kwa kiwango kikubwa cha calcium kwenye maharage.
7. Uboreshaji wa ngozi kwa sababu ya kuwepo kwa mafuta na hemoglobin kwenye maharage.
8.Pia maharage uboresha afya ya moyo kwa sababu ya kuwepo kwa vitamini B9 kwenye maharage.
9. Maharage usaidia katika kutunza kumbukumbu kwa sababu ya kuwepo kwa vitamini B1 na pia maharage kwenye macho jwas sababu ya kuwepo kwa zinki kwenye maharage.
10. Usaidia kupunguza uzito.kwa sababu ya kuwepo kwa protini ya kutosha kwenye maharage.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula maboga
Soma Zaidi...Makala hii inakwenda kukuletea kazi za vitamini B, pia tutajwenda kuona makundi ya vitamini B na kazi za kila kundi. Pia makala hii inakwenda kukufundisha vyanzo na vyakula vya vitamini B. Utajifunza pia kazi kuu za vitamini B kwa ujumla wake.
Soma Zaidi...Virutubisho vya protini vina kazi nyingi mwilini. Zifuatazo ndio kazi protini mwilini
Soma Zaidi...Some Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya vitamin K
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula chungwa na chenza (tangarine)
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula mahindi
Soma Zaidi...Papai ni moja kati ya matunda yenye vitamini C na virutubisho vinginevyo. Lakini papai pia ni moja kati ya vyakula ambavyo mjamzito anatakiwa awe makini navyo.
Soma Zaidi...