Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Sunnah za SwalaSunnah za Swala Vipengele vya sunnah katika swala ni vile ambavyo mwenye kuswali akivitenda husaidia sana kukuza daraja...
Sharti za SwalaSharti za Swala Sharti za swala ni yale mambo ya lazima anayotakiwa Muislamu ayachunge na kuyatekeleza kabla hajaanza...
Lengo la Kusimamisha SwalaBila shaka swala imepewa umuhimu mkubwa kiasi cha kufanywa nguzo kubwa ya Uislamu kutokana na lengo lake.
(c)Kuletewa Ujumbe na Malaika kutoka kwa Allah (s.
Umuhimu wa KusimamishaSwala Kwa mujibu wa Hadith ya Ibn Umar (r.
Hii ni njia ambayo mwanaadamu huongeleshwa moja kwa moja na Allah (s.
Ni mtiririko wa habari au ujumbe unaomjia mwanaadamu bila ya kufundishwa na mtu yeyote au kuona mfano wake katika mazingira...
Maana ya Swala Maana ya Swala kilugha(a) Kilugha Katika lugha ya Kiarabu neno Swalaat lina maana ya ombi au dua.
Kama tunavyojifunza katika surat ‘Alaq (96:4-5), chanzo cha elimu au mkufunzi wa binadamu ni Allah (s.
Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.