Mwanaadamu hawezi kuishi bila Dini
Mwanaadamu hawezi kuishi bila dini kwa sababu zifuatazo:
(a)Maana halisi ya dini
Tunaona kuwa maana halisi ya dini kwa mtazamo wa Qur’an ni utaratibu au mfumo wa maisha anaoufuata mwanaadamu katika kuendesha maisha yake ya kila siku.
Hivyo kwa vyovyote vile mwanaadamu katika kuendesha maisha yake ya kila siku atakuwa anafuata dini moja au nyingine. Hana namna yoyote ya kuishi bila dini.
Umeionaje Makala hii.. ?
Nguzo za imani (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...“Katika kuumbwa mbingu na ardhi na mfuatano wa usiku na mchana,ziko alama (hoja) za kuonyesha kuwepo Allah (s.
Soma Zaidi...Elimu ndiyo zana aliyotunukiwa mwanadamu ili aitumie kutekeleza majukumu yake kama Khalifa wa Allah (s.
Soma Zaidi...