picha
SIRI

Hii ni game ya maandishi bila ya kutumia vioneshi (graphics).

picha
JAMII SOMO LA 26

(vii)Hufanya bias hara na Allah (s.

picha
HUSAIDIA WENYE MATATIZO KATIKA JAM II

Huwa wepesi wa kutoa msaada kwa hali na mali kwa wanaadamu wenziwe wanaohitajia msaada.

picha
HUSIMAMISHA SWALA

Husimamisha swala katika maisha yao yote.

picha
HUMTEGEMEA MWENYEZI MUNGU PEKE YAKE

Hawamuogopi au kumtegemea yeyote kinyume na Mwenyezi Mungu.

picha
MAMBO YANAYOBATILISHA (HARIBU) SWALA YAKO

Lugha ya Swala Lugha ya swala,kuanzia kwenye Takbira ya kuhirimia Swala mpaka kumalizia swala kwa Salaam, ni Kiarabu.

picha
(II)HUM CHA ALLAH (S.W) KWA KUTEKELEZA AMRI ZAKE

Anapotajwa Mwenyezi Mungu au wanapokumbushwa juu ya maamrisho na makatazo ya Mwenyezi Mungu, nyoyo zao hunyenyekea na kufuata kama walivyokumbushwa.

picha
(C)VIPAWA VYA MWANAADAMU

Vipawa vya mwanaadamu ni sababu nyingine inayomfanya mwanaadamu asiweze kuishi bila ya kufuata dini moja au nyingine.

picha
(B)UMBILE LA MWANAADAMU NI LA KIDINI

Ukizingatia maana halisi ya dini, kuwa dini ni utaratibu wa maisha, utadhihirikiwa kuwa umbile la mwanaadamu ni la kidini.

Page 81 of 229

Kuhusu Bongoclass

image

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.