Katika vita vya Uhudi waislamu walikufa wengi kulinganisha na makafiri. Lakini makafiri walikimbia uwanja wa vita baada ya kuzidiwa. Je ni nanibalishindwa vita vya Uhudi kati ya waislamu na makafiri?
Vita vya Uhudi hatuwezi sema waislamu walishindwa kwa sababu makafiri ndio walikimbia uwanja wa vita baada ya kuzidiwa nguvu na waislamu pale ealipoubgana tena.
Waislamu walikufa wengi kwa idadi ya watu 70 na makafiri 35.hata hivyo ukiangalia kwa uwiano wa jeshi waislamu walikuwa 700 na makafiri walikuwa 3000 sawa na kusema muislamubmmoja amepigana na makafiri 4 ukikokotoa hapo kwa uwiano huo makafiri waliokufa ni wengi.
Turudi kwenye swali ka msingi. Sababu zilizopelekea waislamu kushindwa nguvu baada ya kuwadhibiti makafiri ni kutomtii Mtumishi.
Kabla ya vita Mtume Muhammad SAW aliwateuwa watu 50 kukaa juu ya mlima kulinda wengine. Na akawaambia msishuke bila ya kuambiwa hata kama tutashindwa ama tutashinda. Lakini walipoona waislamuvwameshinda watu 43 walishuka na hapo khalid bin walid akawauwa wale waliobaki na kuhamia jeshi la waislamu kwa
Hapo waislamu wakaanza jugawanyika na kupigwa vibaya. Baadaye wakajikusanya na kuunda nguvuvmpya wakarudisha mapambano na makafiri wakashindwa na kukimbia.
Umeionaje Makala hii.. ?
Yiomyokea khalid Ibn al walid katika vita vya Muta
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu nani alikuwa wamwisho kufariki katika masahaba wa Mtume kwa mujibu wa historia
Soma Zaidi...Kwa neema hii ya kuruzukiwa watoto wawili - Ismail na Is- haqa(a.
Soma Zaidi...Nabii Musa na Harun walikuwa na kazi kubwa mbili; kwanza, kuwakomboa Bani Israil kutokana na dhuluma waliyokuwa wakifanyiwa na Firaun na Serikali yake, na pili, kuwarudisha kwenye nchi yao takatifu ya Palestina.
Soma Zaidi...