Somo hili linalenga kukujuza juu ya umuhimu wa tikiti kwenye afya ya mwili
Umuhimu wa tikiti
1. Hufanya mwili uwe na maji mengi
2. Tikiti Lina virutubisho Kama vitamin C, A, B1, B5 na B6 pia Lina madini ya magnesium na potassium
3. Husaidia kuzuia saratani
4. Huimarisha afya ya moyo
5. Hupunguza msongo wa mawazo
6. Hupunguza udhaifu wa viungo kwa wazee
7. Husaidia kuboresha afya ya nywele na ngozi
8. Huboresha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukuletea faida za embe na umuhimu wake kiafya
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Post hii itakwenda kukufundisha faida za kiafya za kula asali
Soma Zaidi...