Postei hizi inahusu zaidi mtindo mzuri wa maisha, yaani mtu ale ki vipi au afanyeni nini ili kuweza kuboresha afya yake.
1. Fanya mazoezi mara kwa mara walau dakika ishirini kila siku.
2.epuka vyakula vyenye mafuta kwa wingi.
3. Kunywa maji mengi ya kutosha hasa ya uvuguvugu.
4. Usijizoeze kuwa na mawazo ya mara kwa mara au kuwa na chuki kwa mda mrefu.
5.kuwa na marafiki wengi na epuka matumizi ya vileo vikali na uvutaji wa madawa ya kulevya
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Yajuwe mambo yanayoathiri afya ya miili yetu, jifunze mambo mengi kuhusu afya.
Soma Zaidi...Kwa kuimarisha afya ya ubongo unaweza kuimarisha kumbukumbu, Kinga za mwili na mengineyo mengi ambayo utajifunza kwenye makala hii
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi utumiaji wa pombe na sigara pamoja na madawa katika jamii.
Soma Zaidi...