picha
NINI HUSABABISHA FANGASI SEHEMU ZA SIRI

Katika somo hili tutaeleza sababu kuu zinazopelekea kupata fangasi sehemu za siri, mazingira yanayochochea kuongezeka kwa fangasi, pamoja na vitu...

picha
PYTHON SOMO LA 52: KUTENGENEZA TABLE NA KUFANYA MIGRATIONS KATIKA DJANGO

Katika somo hili tutajifunza jinsi Django hutumia migrations kuunda na kubadilisha tables kwenye database kulingana na models tunazoandika. Tutapitia maana...

picha
FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA MAJANI YA KUNDE

Leo tutajifunza kuhusu majani ya kunde — mboga za kijani zinazotokana na mmea wa kunde (beans). Wengi hula mbegu za...

picha
FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA KISAMVU (MAJANI YA MUHOGO)

Somo letu la leo litazungumzia kuhusu faida za kiafya za kula kisamvu, ambacho ni chakula cha asili kinachopatikana kwa urahisi...

picha
FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA MCHUNGA (BITTER LETTUCE)

Somo letu la leo litazungumzia kuhusu faida mbalimbali za kiafya zinazopatikana kutokana na ulaji wa mboga ya mchunga, inayojulikana pia...

picha
AINA BORA ZA MBOGA ZA MAJANI KWA KUONGEZA DAMU MWILINI

Somo letu la leo litazungumzia mboga bora zaidi za majani zinazosaidia kuongeza damu mwilini. Tutajadili virutubisho vinavyopatikana kwenye mboga hizi,...

picha
MBINU BORA ZA KUPIKA MBOGA BILA KUPOTEZA VIRUTUBISHO VYAKE

Somo letu la leo litazungumzia njia sahihi za kupika mboga ili zisipoteze virutubisho vyake muhimu. Tutajifunza makosa yanayofanywa na watu...

picha
MADHARA YA KUTOKULA MBOGA ZA MAJANI MARA KWA MARA

Somo letu la leo litazungumzia kuhusu athari za kiafya zinazotokana na kutojumuisha mboga za majani katika mlo wa kila siku....

picha
FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA MBOGA YA MNAVU (SOLANUM NIGRUM)

Somo letu la leo litazungumzia kuhusu faida mbalimbali za kiafya zinazopatikana kutokana na ulaji wa mboga ya mnavu — mojawapo...

picha
TOFAUTI KATI YA BLOGGER NA WORDPRESS

Blogger na WordPress ni majukwaa maarufu ya kuunda blogu na tovuti. Blogger ni huduma ya bure inayomilikiwa na Google, rahisi...

picha
JINSI YA KUZUIA KUDUKULIWA KWA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK

Thibitisha akaunti yako kwa hatua za usalama kama kutumia nenosiri imara, kuweka uthibitisho wa hatua mbili (2FA) kwa kutumia authenticator,...

picha
UKURASA WA AMP KWENYE SEO

Katika somo hili tutaeleza maana ya AMP (Accelerated Mobile Pages), jinsi inavyofanya kazi, faida zake katika SEO, changamoto zake, na...

picha
SOMO LA 9 PYTHON SQLITE: JINSI YA KUIWEKA PROJECT YETU KWENYE FILE MOJA

Katika somo hili utaenda kujifunza namna ya kuunganisha mafaili mengi ya project na kuyaweka kwenye faili moja tu na kuweza...

picha
SOMO LA 8 PYTHON SQLITE JINSI YA KUPATA JUMLA YA MADENI KUTOKA KWENYE DATABASE

Katika Somo hili la nane utaenda kujifunza namna ya kuchambua data kwenye database yetu kwa kupata jumla ya kiasi cha...

picha
SOMO LA 7 PYTHON SQLITE: JINSI YA KUFUTA DATA KWENYE DATABASE

Katika somo hili utakwenda kujifunza namna bora ya kufuta data kutoka kwenye database

picha
SOMO LA 6 PYTHON SQLITE: JINSI YA KUSASISHA (UPDATE) DATA KUTOKA KWENYE DATABASE

Karibu kwenye somo la sita! Leo tunajifunza UPDATE, amri ambayo inaruhusu kubadili au kusasisha data iliyopo tayari kwenye meza (table)...

picha
SOMO LA 5 PYTHON SQLITE: JINSI YA KUSOMA (READ) DATA KUTOKA KWENYE DATABASE

Katika somo hili tutaenda kujifunza jinsi ya kusoma (Read) data kutoka kwenye database yetu

picha
SOMO LA 4 PYTHON SQLITE: JINSI YA KUINGIZA DATA KWENYE TABLE NA DATABASE

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuingiza data kwenye table na database tuliyoiunda katika somo lililopita

picha
SOMO LA 3 PYTHON SQLITE: JINSI YA KUUNDA TABLE KWENYE DATABASE YA SQLITE NA PYTHON

Katita somo hili sasa tutaenda kujifunza namna ya kuunda table kwenye database ya SQLITE kwa kutumia Python

picha
BIPOLAR DISORDERS

Bipolar disorder ni hali ya afya ya akili inayohusisha mabadiliko makubwa katika hisia, nishati, na shughuli za kila siku za...

picha
DALILI ZA UGONJWA WA SCHIZOPHRENIA

Schizophrenia ni ugonjwa wa akili ambao huathiri jinsi mtu anavyofikiri, kuhisi, na kuamua. Dalili za schizophrenia zinaweza kuwa kama ifuatavyo...

picha
DALILI ZA MTU MWENYE WASIWASI (ANXIETY)

Post hii unahusu mtu mwenye ugonjwa wa akili ambao huitwa ugonjwa wa wasiwasi Kwa kitaalamu huitwa anxiety,ni pale mtu anapokuwa...

picha
SOMO LA 2 PYTHON SQLITE NA MUUNGANIKO WA DATABASE (DATABASE CONNECTION)

Karibu ujifunze Python Sqlite na muunganiko wa Database (Database Connection)

picha
AINA YA MAGONJWA YA AKILI

Unyogovu (Depression ) ni mojawapo ya ugonjwa wa akili ambao unahusishwa na hisia za huzuni, kukosa matumaini, na kupoteza furaha...

Page 1 of 229

Kuhusu Bongoclass

image

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.