Hii ni Dua inayisomwa unapoingia nyumbani
Dua [11.1] Unapoingia Nyumbani
بِسۡمِ ٱللَّهِ وَلَجۡنَا وَبِسۡمِ ٱللَّهِ خَرَجۡنَا وَعَلَى ٱللَّهِ رَبِّنَا تَوَكَّلۡنَا
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu tunaingia, kwa Jina la Mwenyezi Mungu tunatoka, na kwa Mola wetu tunategemea.
Bismillaahi walajnaa, wa bismillaahi kharajnaa, wa ‘alaa Rabblnaa tawakkalnaa
Kisha useme: As-Salaamu ‘Alaykum kwa wale waliopo ndani.
Abu Dawud 4/325. Muslim 2018 anasema kwamba mtu anapaswa kulitaja Jina la Mwenyezi Mungu anapoingia nyumbani na anapoanza kula; na shetani akisikia hivyo husema: "Hakuna makazi kwetu hapa usiku wa leo, wala chakula."
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Post hii itakwenda kukugundisha masharti yanayofungamana na kukubaliwa kwa dua.
Soma Zaidi...Kwenye Quran kuna duaambazo Allah ametufundisha tuziombe kwa ajili ya wazazi, familia na kwa ajili yetu wenyewe.
Soma Zaidi...Post hii itakufundisha dua za kuomba wakati wa woga, wasiwasi na kujikinga na wachawi na mashetani
Soma Zaidi...