Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na mdudu kwa kitaalamu anaitwa Anopheles.na anasambazwa na mbu jike pale anapotafuta chakula hasa wakati akiwa na mimba. Mbu hawa hupenda kuishi kwenye mnyasi, madibwi haswa kwenye maji yaliyo simama.
Zifuatazo ni dalili za malaria;
-kuumwa kichwa
-homa za mara kwa mara
-kichefuchefu na kitapika
-kukosa hamu ya kula
-degedege hasa kwa watoto wadogo
-kurukwa na akili(mental health) hasa pale ambapo maleria imekuwa sugu na huingia kichwa na mtu huchanganyikiwa
Njia za kujikinga na malaria ni;
-kufukia madibwi
-kufanya usafi kwenye mazingira yaliyo tuzunguka
-kupunguza majani au nyasi ili kuziia mbu wasizaliane
-kuweka dawa kwenye madimbwi au sehemu mbalimbali Ili kuzuia mbu wasiishi na kuzaliana
-Kutumia neti wakati unapolala usiku
-Unaweza kutumia dawa za kujipaka Ili kujikinga na mbu.
Matibabu yanayoweza kutibu ugonjwa wa malaria
-Dawa ; Kuna baadhi ya dawa ambazo zipo mahospitalini na hutibu ugonjwa huu na hupelekea mtu kupona .
Mwisho; ukipata dalili kama hizi ni vyema kwenda hospital kwaajili ya matibabu na malaria ni ugonjwa hatari na Unaweza kuua kwahiyo ni vyema kuwahi hospitali kwaajili ya ushauri na matibabu zaidi.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi sababu za wanawake kuwa na maumivu kwenye viungo, ni ugonjwa unaowapata na wanaume ila kwa wanaweza unaowapata sana ukilinganisha na wanaume.
Soma Zaidi...Je, mtu mwenye dalili zifuatazo Kama, Mapigo ya moyo kwenda mbio, mwili kuchoka,kichefuchefu, kizungungu, joto kiasi.
Soma Zaidi...Kuziba kwa utumbo ni kuziba kwa chakula au kimiminika kisipite kwenye utumbo mwembamba au utumbo mpana (colon). Kuziba kwa matumbo kunaweza kusababishwa na mikanda ya nyuzi kwenye fumbatio ambayo huunda baada ya upasuaji, mifuko iliyovimba au iliyoambuk
Soma Zaidi...Habari, samahani ninasumbuliwa Sana na mapunye ya kichwani nimetumia dawa takribani miaka 3 ila yanapona Tena baada ya Muda flani yanatokea.
Soma Zaidi...Mimi nilifanya ngono isiyo salama Tar 14/07 mwaka huu, nilikutana tu na mwanamke ambae sikuwa hata na background yake yoyote hivyo baada ya siku tatu nilijikuta nina maambukizi ya zinaha (maumivu wakati wa kukojoa na usaha), hivyo nilienda hospital na kup
Soma Zaidi...Posti hii inahusu huduma kwa wanawake wenye mahitaji maalum, ni wanawake ambao wana shida ya akili, walionyanyaswa kijinsia, wakimbizi na wote wenye matatizo mbalimbali.
Soma Zaidi...Katika post hii utakwend akujifunza kuhusu tatizo la kuwa na vijiwe kwenye ini vijiwe hivi hufahamika kama intrahepatic stones.
Soma Zaidi...Kutokwa na mate mengi mdomoni si ugojwa ni hali inayoweza kutokea kwa mtu yeyote. Mara nyingi hali hii haihitaji matibabu wa dawa, na huondoka yenyewe. Lakini hutokea baadhi ya nyakati ikawa mate yanatoka zaidi mdomoni. Je na wewe ni miongoni mwao? Makala
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...