Fahamu kuhusu dawa ya ketoconazole.

Post hii inahusu zaidi dawa aina ya ketoconazole ni dawa inayotumika kutibu fangasi za kwenye koo.

Fahamu kuhusu dawa ya ketoconazole.

1. Aina hii ya dawa usaidia kutibu fangasi za kwenye koo, ufanya kazi hiyo kwa kuhakikisha kwamba enzyeme ya mdudu anayesababisha ugonjwa huo inaharibika na hatimaye uponyaji kwa mwathirika wa ugonjwa huu uweza kuendelea vizuri.

 

2. Dawa hii kwa kawaida ina milligrams kuanzia mia mbili mpaka mia nne na pia kwa kawaida utumika kwa njia ya mdomo yaani  iko kwenye mfumo wa vidonge.

 

3. Dawa hii inaweza kumezwa wakati wa kula au baada ya kula na pia utumika maji ya kutosha wakati wa kutumia.

 

4. Dawa hii ikitumia mara kwa mara usababisha kuharibika kwa figo kwa hiyo isitumike bila sababu za msingi.

 

5.pia katika matumizi dawa hii inapaswa kutumiwa kwa ushauri wa wataalamu wa afya sio kutumiwa kiholela kwa sababu matokeo yake yanaweza kutokea na mtu akakosa msaada waharaka.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/12/15/Thursday - 12:37:10 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 661


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-