Huduma ya kwanza kwa mtu aliyeng,area na wadudu
Posti hii inahusu zaidi huduma ya kwanza kwa mtu aliyengatwa na wadudu. Wadudu ni viumbe vidogo ambavyo hukaa sehemu mbalimbali kama vile kwenye miti na sehemu kama hizo
Huduma ya kwanza kwa mtu aliyengatwa na wadudu
1. Kwanza kabisa kama mdudu bado yupo kwenye mwili wa mtu anapaswa atolewa kabisa
2.kama mtu amevimba tunaaweza kutumia ice Ili kuondoa maambukizi
3. Tutumie dawa za alegi ambazo kwa kitaalamu zinaitwa histamine, hizi dawa hupunguza kuenea kwa sumu
4. Kama Kuna dalili zozote za kuwepo kwa nabaki ya wadudu kwenye mwili au meno ya wadudu kwenye ngozi inabidi yatolewe mara Moja.
Angalisho
1.Ili kuepuka kuumwa na wadudu tunapaswa kuwa mbali na sehemu Ile ambapo wadudu wanaoweza kuwepo
2. Kupikia ndani ya nyumba Ili kuepuka wadudu wansozunguka nje
3. Kusafisha nyumba kila mara na kupiga buibui Ili kuzuia wadudu wasizaliane sana
4. Kuwalinda watoto wanapokuwa wanacheza Ili wasichokoze wadudu wakali kama vile nyuki
5. Kuhakikisha wadudu wanaovamia makazi kama vile nyuki wanahamishwa au kuunguzwa kabisa Ili wasilete madhara ,
Kwa hiyo tujue kuwa wadudu wakivamia mtu hasa watoto wanaoweza kuleta madhara makubwa au pengine kifo kwa hiyo tuwe makini na na azingira yetu na tuhakikishe tumayasafisha Ili kufukuza wadudu wenye madhara
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game 👉2 Simulizi za Hadithi Audio 👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉4 ai web app 👉5 web hosting 👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Post zinazofanana:
Njia za kutumia Ili kuepuka tatizo la kupungua kwa damu
Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa tatizo na kuishiwa damu, kuishiwa damu ni tatizo linolowakumba watu wengi na kusababisha matatizo mengi
Soma Zaidi...Ijue rangi za mkojo na maana zake katika mwili kuhsu afya yako
Posti hii inahusu zaidi rangi za mkojo na maana zake, hizi ni rangi ambazo uweza kutokea kwenye mkojo wa mtu mmoja na mwingine kwa sababu ya kuwepo kwa magonjwa, chakula,na mtindo wa maisha inawezekana unywaji wa maji au kutokunywa maji.
Soma Zaidi...Huduma ya kwanza kwa mwenye jeraha linalotoa damu
Posti inahusu huduma ya kwanza kwa mwenye jeraha linalotoa damu.huduma ya kwanza Ni kumsaidia mtu alie pata jeraha au ajali kabla hajamwona dactari au kufika hospitalinia.
Soma Zaidi...Aliyepaliwa na maji huduma ya kwanza itakuwaje
Vipi utamsaidia mti ambaye amepaliwa na maji? Post hii itakwenda kukifundisha jambo hili.
Soma Zaidi...HUDUMA YA KWANZA KWA MTU ALIYEZIMIA (CARDIOPULMONARYRESUSCITATION) AU CPR
Kuzimia ni hali ya kupoteza fahamu ambako kunaendana na kutokuhema.
Soma Zaidi...