Kula zabibubkina faida nyingi kwa afya yako.
1.Faida za kula zabibu:
1.zabibu lina virutubisho vingi kama vitamini C , B6 na K na fat na madini ya shaba na manganese.
2.Ina antioxidanti zinazohusika kuondoa sumu za kemikali na vyakula mwilini
3.Hupunguza athari ama hatari ya magonjwa kama saratani, kisukari na maradhi ya moyo na mishipa ya damu
4.Huondoa stress na misongo ya mawazo
5.Hushusha shinikizo la damu
6.Hupunguza cholesterol mbay
7.Hushusha kiwango cha sukari kwenye damu
8.Husaidia kuimarisha afya ya macho
9.Huimarisha afya ya ubongo na utunzaji wa kumbukumbu
10.Husaidia kuboresha afya ya mifupa
11.Husidia kupunguza maambukizi ya baadhi ya bakteria, virusi na fangasi
12.Hupunguza kuzeheka mapema
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya hapa chini kuipakua sasa!
Umeionaje Makala hii.. ?
Hapa tutajifunza namna ambavyo mkojo unaweza kueleza kuhusu hali ya kiafya ya mtu
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Ndoto ni moja ya mamba ambayo yanatokea mwanadamu na sayansi haina uelewa hasa nini hutokea. Hata hivyo yapo machache tafiti za kisayansi zinatueleza.
Soma Zaidi...