Faida za mbegu za maparachichi.

Faida za mbegu za maparachichi.

Posti hii inahusu zaidi faida za mbegu za maparachichi, kwa kawaida tunajua wazi faida za maparachichi pamoja na faida za maparachichi kuna faida kubwa katika mbegu zake kama tutakavyoona

Faida za mbegu za maparachichi.

1. Inazuia seli za mwili kutozeeka mapema.

Kwa sababu ya kuwepo kwa virutubisho mbalimbali kwenye mbegu ya parachichi uzuia seli kutozeeka kwa wakati wake 

 

 

 

2. Pia inazuia kupata magonjwa ya moyo.

Kwa watumiaji wengi wa mbegu hizi wameweza kugundua kwamba kwa matumizi sahihi ya mbegu hizi uzuia kupatwa kwa magonjwa ya moyo.

 

 

 

 

3. Uongeza kinga ya mwili na kupambana na magonjwa mbalimbali.

Kwa matumizi mbalimbali ya mbegu za maparachichi usaidia kuongeza kwa kinga ya mwili.

 

 

 

 

4. Ni msaada mkubwa kwa kwa watu wenye shida ya unene kwa sababu wengi waliokuwa na uzito mkubwa wameweza kupunguza kwa uzito kwa kiasi fulani.

 

 

 

5. Kutibu Magonjwa mbalimbali ya tumbo.

Mbegu za maparachichi usaidia kutibu matatizo mbalimbali ya tumbo kama vile kuharisha na kuzuia kuzalishwa kwa tindikali inayozidi kiasi tumboni.

 

 

 

 

6. Uongeza hamu ya tendo la ndoa.

Kwa walio wengi hasa watumiaji wa mbegu za maparachichi wameshuhudia kuongezeka kwa hamu ya tendo la ndoa.

 

 

 

 

 

7. Usaidia kwa wenye matatizo ya maumivu ya mifupa na jonti.

Kwa kawaida kwa sababu ya kuwepo kwa matatizo ya mifupa na jonti wengi wametumia wakaponea 

 

 

 

 

8. Ni msaada kwa afya ya ngozi.

Kwa watumiaji wanashuhudia kwamba hali zao za ngozi ziko vizuri.

 

 

 

 

9. Usaidia kutibu pumu.

Mbegu za maparachichi ni nzuri kwa wale wenye matatizo ya pumu na mfumo wa hewa kwa ujumla.

 

 

 

10. Pia usaidia kwa wenye matatizo ya kifafa,

Kwa wale wenye matatizo ya kifafa wakitumia mbegu hizi za maparachichi wataweza kupona na kuendelea vizuri kabisa.

 

 

11. Kwa hiyo kipindi kijacho nitafundisha namna ya kutengeneza dawa hiii ya mbegu za maparachichi.

 

 

 

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: General Main: Post File: Download PDF Views: 3587

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉2 Bongolite - Game zone - Play free game     👉3 Simulizi za Hadithi Audio     👉4 Kitau cha Fiqh     👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉6 web hosting    

Post zinazofanana:

Tabia na vyakula vya watu wa kundi AB

Posti hii inahusu zaidi tabia na vyakula wanavyopaswa kutumia watu wenye damu ya kundi AB

Soma Zaidi...
Afya

Umuhimu was afya na Hindi ya kuitunza afya

Soma Zaidi...