picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 26: KUSIMAMA KWA WAHY

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu kusimama kwa Wahyi kuja kwa Mtume Muhammad ﷺ

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 25 JIBRIL ANALETA WAHYI KWA MTUME MUHAMMAD ﷺ

Katika somo hili utakwend akujifunz akuhusu historia ya Mwanzoni mwa Wahyi aliouleta Jibril kwa Mtume Muhammad ﷺ

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 24: KATIKA PANGO LA HIRA

Katika somo hili utakwend akujifunz akuhusu yaliyojiri katka pango la Hira kabla ya kupokea utume

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 23: MAISHA YA MTUME MUHAMMAD KABLA YA UTUME

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu maisha ya Mtume Muammad ﷺ wakati wa ujana wake na kabla ya utume

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 22: KUJENGWA UPYA KWA AL-KAABAH

Katika somo hili utakwenda kujifunza tukio la kujengwa upya kwa Al-Kaabah tukufu

picha
PHP SOMO LA 91: MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOKUWA UNASHUGHULIKA NA DATA ZA JSON

Haya ni mabo ya kuzingatia unapo encode ama ku decode data za json

picha
PHP SOMO LA 90: JINSI YA KUTUMIA JSON DATA KAMA BLOG POST

Katika somo hili utaweza kujifunza ni kwa nambna gani utaweza kutengeneza blog post na kuisoma kwa kutumia data za json

picha
PHP SOMO LA 89: JINSI YA KUTUMIA DATA ZA JSON KWENYE PROGRAM YA PHP NA HTML

Katika somo hili utakwend akujifunza ni kwa namna gani utaweza kuzitumiadata za jsonkwenye program yako

picha
PHP SOMO LA 88: JISNSI YA KUTENGENEZA JSON DATA KUTOKA KWENYE DATABASE

Katika somo ili utakwenda kujifunz ahatuwa kwa hatuwa jinsi ya kutengeneza json data kutkana na data ambazo zio kwenye database

picha
PHP SOMO LA 87: JINSI YA KUANGALIA ERROR WAKATI WA KU DECODE NA KU ENCODE JSON DATA

Katika somo hili utakwenda kujifunza jisni ya kudhibiti error ambazo zinaweza kutokea wakati wa ku encode na ku decoe json data

picha
PHP SOMO LA 86: JINSI YA KU DECODE JSON YAANI KUBADILI JSON KUWA PHP DATA KAMA ARRAY ANA OBJECT

Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kubadili json data na kuwaphp array ama php object. Kwa ufupi tunakwend aku decode json data kuwa phparray amaobject

picha
UGONJWA WA KASWENDE

Kaswende ni maambukizi ya bakteria kawaida huenezwa kwa kujamiiana pia ugonjwa huu hujulikana kama syphilis. Ugonjwa huu huanza kama kidonda kisicho na maumivu kwa kawaida kwenye sehemu zako za siri, rektamu au mdomo

picha
PHP SOMO LA 85: JINSI YA UTENGENEZA JSON DATA KWA UTUMIA PHP

Katika somo hili utakwenda kujifunza Jinsi ya utengeneza json data kwa utumia php

picha
FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO (PEPTIC ULCERS)

Vidonda vya tumbo ni vidonda vilivyo wazi vinavyotokea kwenye utando wa ndani wa umio, tumbo na sehemu ya juu ya utumbo wako. Dalili ya kawaida ya Peptic ulcer ni maumivu ya tumbo. Vidonda vya tumbo ni pamoja na: Vidonda vya tumbo vinavyotokea ndani

picha
PHP SOMO LA 84: MAANA YA JSON NA SHERIA ZA KUANDIKA FAILI LA JSON

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Maana ya JSON na sheria za kuandika faili la json

picha
PHP SOMO LA 83: SERVER VARIABLES

Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu server variables

picha
PHP SOMO LA 82: CONTENT-DISPOSITION

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu aina ya header inayoitwa Content-Disposition

picha
PHP SOMO LA 81: CROSS - ORGN RESOURCE SHARING - CORSE HEADER

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Cross - Orgn Resource Sharing ama inafupishwa kama CORSE header

picha
IJUWE PLATFORM YA INDEXNOW

Je umeshawahi kuweka post yako kwenye blog halafu ikachukuwa mpaka siku 3 kuonekana kwenye search engine kama Google, Index ama Bing. Bsi project ya IndexNow imekuja kutatuwa tatizo hilo

picha
PHP SOMO LA 80: AUTHENTICATION HEADER

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Authentication header, najinsi ya kutuma taarifa hizo na kuzisoma

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 22: HISTORIA YA BI KHADIJA MKE WA KWANZA WA MTUME MUHAMMA

Katika somo hili utakwenda kujfunz akuhusu historia ya Bi Khada mke wa kwanz awa Mtume Muhammad ﷺ

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD (S.A.W) SOMO LA 21: NDOA YA MTUME MUHAMMAD NA BI KHADIJA

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu ndoa ya Mtume Muhammad ﷺ na Bi Khadija

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 20: KAZI ALIZOKUWA AKIFANYA MTUME MUHAMMAD KABLA YAUTUME

Katika somo hili utakwenda kujifunza kazi ambazo alikuwa akifanya Mtume Muhammad ﷺ kabla ya kupewa utume

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 19: HILF AL-FUDUL - MAKATABA WA HAKI

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu historia ya mkataba wa al-Fudhul na matokeo yake katika kusimamaia haki za wafanyabiashara.

Page 17 of 220

Kuhusu Bongoclass

image

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.