Hstora ya Nabii Yahya
Katika somo hili uatkwenda kujifunza kuhusu historia ya Nabii Yahya
Yaḥyā ibn Zakariyā katika Uislamu
Yaḥyā ibn Zakariyā (Yahya/John, mwana wa Zakariya), anayejulikana kama John the Baptist, ni nabii wa Mungu katika Uislamu aliyepelekwa kuwaongoza Wana wa Israeli. Waislamu wanaamini kuwa alikuwa shahidi wa Neno la Mungu na alitangaza kuja kwa Isa Al-Masih (Yesu Kristo).
Kutajwa katika Quran
Yahya anatajwa mara tano katika Quran. Anaheshimiwa sana kwa usafi na wema wake, na hekima aliyopatiwa na Mungu akiwa bado kijana. Quran inasema kuwa Yahya alipewa jina maalum na alikuwa wa kwanza kupokea jina hilo.
Kuzalwa na upewa Utume
Alizaliwa mtoto Yahya na kupewa utume akingali mtoto na akainukia kuwa mtu mwema kwa wazazi wake na kwa walimwengu wote kwa ujumla. Alijitoa muhanga kwa ajili ya kulingania Dini ya Allah(s.w).
“Ewe Yahya! kishike kitabu (hiki unachopewa) kwa hima kubwa.” Na tulimpa hikima angali mtoto. Na (tukamfanya ni) huruma kutoka kwetu, na utakaso na akawa mcha-Mungu. Na mwema kwa wazazi wake wala hakuwa jeuri ,asi. Na amani ilikuwa juu yake siku aliyozaliwa na siku aliyokufa na siku atakayofufuliwa hai.(19:12-15)
Nabii Zakaria na Yahya(a.s),wote waliuliwa na Mayahud.
Mauaji
Yahya alipingana na Herode Antipa kuhusu ndoa yake ya kuoa mke wa shemeji yake. Herode Antipa alimfunga Yahya gerezani na kisha kumkata kichwa. Kichwa cha Yahya kinadaiwa kuwa ndani ya Msikiti wa Umayyad huko Damascus.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉2 Dua za Mitume na Manabii 👉3 ai web app 👉4 Bongolite - Game zone - Play free game 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 kitabu cha Simulizi
Post zinazofanana:
Hstora ya Nab Sulaman
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu historia ya Nabii Sulaman
Soma Zaidi...Historia ya Mtume Ibrahimu
Katika post hii utakwenda kujifunza historia ya Mtume Ibrahim katika quran
Soma Zaidi...Historia ya Mtume Lut
Katika somo hili utakwenda kujifunza historia yaMtume Lut kutoka katika Quran
Soma Zaidi...Historia ya Mtume Swaleh (Salih)
Katika post hii utakwenda kujifunza historia ya Mtume Swalehe katikaQuran
Soma Zaidi...Histora ya Nabi Zakariya
Katika somo hili utakwenda ujfunza kuhusu hslistoria ya Nabi Zakariya
Soma Zaidi...