picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 18: HISTORIA YA VITA VYA FIJAR

Hapa utajifunza chanzo vya vita vya al fijar na vipi Mtume Muhammad ﷺ alishiriki katika vita hivyo.

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 17: HADITHI YA MTUME MUHAMMAD ﷺ KUKUTANA NA BAHIRA AKIWA NA MIAKA 12

Katikasomo hili utakwenda kujifunza stori maarufu ya Bahira kuhusu kukutana na Mtume Muhammad ﷺ na kumtambuwa utume wake.

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 16: HISTORIA YA ABU TALIB

Katika somo hili utakwenda kujifunza historia ya Abu Talib ibn Abd al-Muttalib ambaye ni baba yae mkubwa Mtume ﷺ

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 15: HISTORIA YA ABDALLAH BABA WA MTUUME MUHAMMAD

Katika somo hili utakwenda kujifunza historia fupi ya Abadallah baba wa Mtume Muhammad ﷺ

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 14: HISTORIA YA AMINA MAMA WA MTUME MUHAMMAD

Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu historia ya Amina mama wa Mtume Muhammad ﷺ

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 13: HISTORIA FUPI YA ABD AL-MUTTALIB

Katika somo hili utakwenda kujifunza historia ya mzee Abdul al MUttalib. Historia hii inaweza kutofautiana kidogo na ambayo umeshajifunza. na hii ni kutokana kutofautiana kwa mapokeo.

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 12: HISTORIA FUPI YA SALMA BINT AMIR MAMA ABDUL MUTTALIB

Katika somo hili utawenda kujifunza Historia fupi ya Salma bint Amir mama wa babu yake Mtume Muhammad kwa upande wa baba

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 11: KUFARKI KWA BABU YAKE NA KULELEWA NA BABA YAKE MKUBWA

Katika somo hili utajifunza kuhusu Mtume MUhammad ﷺ kulelewa na Kufarki kwa babu yake na kulelewa na baba yake mkubwa:

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 10: KUFA KWA MAMA YAKE MTUME ﷺ

Katika somo hili utakwenda kujifunz akuhusu habari ya kifo cha Bi Amina ambaye ni mama yake Mtume MUhammad ﷺ

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 9: KUPASULIWA KWA KIFUA MTUME WAKATI AKIWA MTOTO

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu tukio la Kupasuliwa kwa Kifua Mtume Wakati Akiwa Mtoto

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 8: KULELEWA KWA MTUME MUHAMMAD ﷺ NA HALIMA

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuusu malezi na makuzi ya Mtume Muhammad ﷺ akiwa kwa bibi Halima

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 7: KUZALIWA KWA MTUME MUHAMMAD ﷺ

katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Mazazi ya Mtume MUhammad ﷺ na kupewa jina.

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 6: NASABA YA MTUME MUHAMMAﷺ

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Nasaba ya Mtume Muhammad ﷺ toka kwa wazazi wake Mpaka kwa Nabii Ibrahim

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 5:HISTORIA YA BABA NA MAMA YAKE MTUME MUHAMMAD (S.A.W)

Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu historia ya wazazi wa Mtume Muhammad (s.a.w)

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 4: HISTORIA YA KUANGAMIZWA KWA JESHI LA TEMBO

Katika soo hili utakwenda kujifunza historia ya jeshi la tembo na jinsi lilivyoangamizwa. Pia utajifunza namna ambavyo watu wa Makkah waliweza kujilinda.

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 3: KUFUKULIWA UPYA WA KISIMA CHA ZAMZAMM

Katika somo hili utakwend akujfunza historia ya kufukuliwa upya kwa kisima cha zamzam baada ya kutoweka kwa muda mrefu

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD ﷺ SOMO LA 2: HISTORIA YA WATU WA KABILA LA QURAYSH NA FAMILIA YA MTUME MUHAMMAD (S.A.W)

Katika somo hili utakwenda kujifunza historia ya kabila la Quraysh Mka na Familia ya Mtume MUhammad (s.a.w)

picha
HISTORIA YA MTUME MUHAMMAD (S.A.W) SOMO LA 1: ASILI YA WAARABU

Katika somo hili utakwenda kujifunza Asili ya waarabu na kusambaa kwao katika bara arab

picha
AINA ZA VYAKULA SOMO LA 70: RANGI ZA VYAKULA ZINAVYOELEZA UWEPO WA VIRUTUBISHO

Katika somo hili utajifunza ni kwa namna gani rangi ya matunda ama mboga inaweza kueleza ni virutubisho gani hupatikana humo.

picha
AINA ZA VYAKULA SOMO LA 69: FAIDA ZA KULA ZAITUNI

Katika somo hili utakwenda kujifunza faida za kiafya za kula zaituni

picha
AINA ZA VYAKULA SOMO LA 68: FAIDA ZA KULA ZABIBU

Katika somo hili utakwenda kujifunza faida za kiafya za kula zabibu

picha
AINA ZA VYAKUALA SOMO LA 67: FAIDA ZA KULA VIAZI VITAMU

Katika somo hili utakwenda kujifunza faida za kiafya za kula viazi vitamu

picha
AINA ZA VYAKULA SOMO LA 66: FAIDA ZA KULA VIAZI MBATATA

Katika somo hili utakwenda kujifunza faida za kiafya za kula viazi mbatata

picha
AINA ZA VYAKULA SOMO LA 65: FAIDA ZA KULA UYOGA

Katika somo hili utakwenda kujifunza faida za kiafya za kula uyoga

Page 18 of 220

Kuhusu Bongoclass

image

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.