Mmoja katika wadau ameuliza kutoka whatsapp
Ugonjwa wa malaria unasababishwa na vimelea vya protozoa.
Vimelea hawa ni aina ya protozoa aitwaye Plasmodium, na kuna aina kadhaa za Plasmodium zinazoweza kusababisha malaria, kama vile Plasmodium falciparum, Plasmodium vivax, Plasmodium ovale, na Plasmodium malariae. Malaria inasambazwa na mbu wa kike wa aina ya Anopheles ambaye hubeba vimelea vya Plasmodium
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download Now
Je umeipenda post hii ?