Faida za kula embe
Somo hili linakwenda kukuletea faida za embe na umuhimu wake kiafya
Faida za embe
1. Huzuia tatizo la kukosa choo kikubwa
2. Huimarisha mfumo wa kinga
3. Embe ni zuri kwa afya ya macho
4. Huondoa cholesterol mbaya mwilini
5. Huboresha muonekano wa ngozi na kuifanya iwe na afya njema
6. Embe ni zuri hata kwa wenye kisukari
7. Embe husaidia katika kupunguza uzito
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉6 Kitabu cha Afya
Post zinazofanana:
Kazi kuu tatu za Vitamini C mwilini
Vitamini C tunaweza kuvipata kwenye matuinda kama machunwa vina kazi kuu tatu ambazo ni hizi hapa
Soma Zaidi...NI ZIPI KAZI ZA PROTINI MWILINI?
Makala hii inakwenda kukuletea kazi kuu za protini na vyakula vya protini katika miili yetu. Mkala hii itakusaiidia kujuwa namna ya kupangilia lishe yako kiusalama zaidi baada ya kujuwa kazi za protini katika miili yetu.
Soma Zaidi...VYAKULA VYA MADINI
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...