Vyakula vya vitamin C
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za vyakula vya vitamin C
VYAKULA VYA VITAMINI C
1. Nyanya
2. Mapera
3. Pilipili
4. Papai
5. Tufaha (apple)
6. Karoti
7. Kitunguu
8. Palachichi
9. Embe
10. Kabichi
11. Pensheni
12. Zabibu
13. Nanasi
14. Limao
15. Chungwa
16. Papai
Faida za vitamini C
1. Husaidia katika utengenezwaji wa tishu mwilini
2. Husaidia katika uponaji wa vidonda
3. Ni antioxidant ambayo husaidi katika kuondosha sumu za vyakula mwilini
4. Husaidia katika kuboresha mfumo wa kinga mwilini
5. Hulinda mwili dhidi ya maradhi ya kiseyeye
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 Simulizi za Hadithi Audio 👉3 Kitabu cha Afya 👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉5 Bongolite - Game zone - Play free game 👉6 web hosting
Post zinazofanana:
Faida za kula asali
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula asali
Soma Zaidi...Faida za kiafya za topetope (accustard apple/sweetsop)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula topetope
Soma Zaidi...Faida za kiafya za nyanya
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nyanya
Soma Zaidi...Faida za kafya za kula asali
Post hii itakwenda kukufundisha faida za kiafya za kula asali
Soma Zaidi...Vitamini na kazi zake
Posti hii inahusu zaidi vitamini mbalimbali na kazi zake kwenye mwili,vitamini ufanya kazi mbalimbali kwenye mwili kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...