Faida za kiafya za kula fyulisi/ peach

Faida za kiafya za kula fyulisi/ peach

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula fyulisi/peach

. Faida za kiafya za kula fyulisi (peach)

1. lina virutubisho kama vitamini C, A na E. pia madini ya potassium, shaba, manganese na phosphorus.

2. Huimarisha afya ya mifupa na meno

3. Huimarisha mfumo wa kinga

4. Kupunguza kazi ya kuzeheka

5. Hulinda mfumo wa fahamu na neva

6. Huboresha afya ya macho

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Views: 2247

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 web hosting     👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉5 Dua za Mitume na Manabii     👉6 ai web app    

Post zinazofanana:

FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA BAMIA (OKRA)

Makala hii inakwenda kukuonyesha faida za kula bamia kwa afya afya

Soma Zaidi...
VYANZO VYA VYAKULA VYA FATI, PROTINO NA WANGA NA FAIDA ZAKE

Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote

Soma Zaidi...
Vyakula vya kupambana na saratani

Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya kupambana na saratani

Soma Zaidi...
Fahamu Fati na kazi zake, vyakula vya fati na athari za upungufu wake

Makala hii inakwenda kukueleza kuhusu fati, vyakula vya fati, kazi zake na athari za upungufu wake

Soma Zaidi...
vyakula vya kuongeza damu, dalili zake na sababu za upungufu wa damu

Zijuwe sababu za upungufu wa damu, dalili za upungufu wa damu na kazi za damu mwilini,n avyakula vya kuongeza damu

Soma Zaidi...