Posti hii inaelezea kiufupi kabisa kuhusiana na Dalili za hatari kwa mama aliyejifungua.
Je,Ni Dalili za hatari kwa mama aliyejifungua?
Zifuatazo zinaonenyesha Dalili za hatari kwa mama aliyejifungua;
1. Kutoka Damu nyingi ukeni na sehemu ya kidonda Kama amepasuliwa.hivyo Kuna baadhi yao Damu hutoka nyingi Sana na hupelekea mama kuwa katika Hali mbali mbaya.
2.kushindwa kupumua.
3.maumivu au kuumwa kichwa.maumivu haya huwa Ni makali Sana na hupelekea mama kushindwa kupumua vizuri.
4.kuvimba miguu (oedema)
5.kuvimba Matiti. Hii nayo ni Dalili mbaya kwa mama aliyejifungua.
6.kutokwa na usaha au majimaji yenye harufu mbaya.
7.kushindwa kukojoa.
8.Degedege.hii nayo Ni Dalili mbaya kwa mama aliyejifungua hivyo Dalili Kama hii hutakiwa kutolewa huduma ya haraka maana inaweza kusababisha madhara.
9.kuona maluweluwe (multiple vision)
10.kizunguzungu.
11.homa Kali.
Mwisho; mama aliyejifungua anatakiwa kupewa huduma nzuri ambayo utamsaidia wakati akipata Dalili za hatari hivyo basi Ni vyema kabisa kwa mama aliyejifungua apewe huduma nzuri na yauangalifu Ndani ya masaa ishirini na nne ili kuangalia Kama anamabadiliko mazuri au mabaya kwa mama na kwa Mtoto pia.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi mambo mbalimbali ambayo yanapelekea Mjamzito kutokwa na damu, hizi ni baadhi ya sababu ambazo usababisha Mjamzito kutokwa na damu.
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukutania madhara ya kuoiga punyeto kwa afya yako.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kwa wale wenye tabia ya kutoa mimba mara Kwa mara .
Soma Zaidi...Matatizo yahusianayo na nguvu za kume na kukosa hamu ya tendo la ndoa kwahuweza kuchangiwa sana na mpangilio mbovu wa vyakula pamoja na saikolojia ya mtu.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi uzazi wa mpango kwa njia ya kumwaga shahawa nje, hii ni njia mojawapo kati ya njia za uzazi wa mpango ambapo mwanaume humwaga nje mbegu ili asimpatie Mama mimba.
Soma Zaidi...Majimaji msule sehemu za siriyanaweza kuashiria mambo mengi ka mwanamke. Ikiwemo ujauzitina maradhi. Pia yanaweza kuashiria kuwa mwanamke unaweza kuoatavujauzito amalaa.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu namna unavyoweza kumtambua mtoto mwenye Ugonjwa wa Nimonia na tiba anayopaswa kupata mtoto mwenye Nimonia
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu damu, uteute na maji yanayotoka ukeni kipindi cha ujauzito
Soma Zaidi...Makala hii itakwenda kukufundisha dalili za kujifunguwa, hatuwa za kujifunguwa na kuzalisha, pia utajifunza mabo muhimu kabla na wakatii wa kujifungua.
Soma Zaidi...