Kupanda kwa msukumo wa damu ni ktendo ambapo moyo husukuma damu kwa nguvu kuliko kawaida ambapo hupelekea matatizo mengi kwenye mwili
Walio katika hatari ya kupata ugonjwa huu ni wafuatao.
1.miaka kuanzia 35-50
2,wavutaji wa sigara
3.ambao hawafanyi mazoezi
4.wenye uzitokupitiliza
5,watumiaji sana wa mafuta na chumvi nyingi
Dalili za ugonjwa huu ni pamoja na
-kichwa kuuuma
-kizunguzungu
-macho kutoona vizuri
-kichefuchefu
-kifua kuuuma
Madhara ya ugonjwa huu ni pamoja na
1.Figo kushindwa kufanya kazi yake vizuri
2. Maambukizi kwenye mishipa ya damu
3.usipotibiwa mapema mgonjwa anaweza kupoteza maisha
Ugonjwa huu nihatari tunashauriwa kuchukua hatua za kwenda hospitalini ukiwa tutapatadalili yoyote kuhusiana na ugonjwa huu
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi madhara ya kutotibu magonjwa ya vidonda vya tumbo, ni hatari inayotokea kwa mtu ambaye haujatibiwa vidonda vya tumbo.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi athari za kutotibu maambukizi kwenye kibofu Cha mkojo, nimatazito yanayoweza kutokea iwapo ugonjwa huu hautatibika.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa wagonjwa
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na upungufu wa maji mwilini
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi faida za tumbo,tumbo ni sehemu ya mwili ambayo ushughilika na kutunza chakula,
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi athari za mkojo mwilini, kwa kawaida tunafahamu kwamba mkojo ni matokeo ya mkusanyiko wa uchafu wa maji maji yanayokusanyika kutoka mwilini ikiwa mkojo umebaki mwilini usababisha madhara mbalimbali kama tutakavyoona.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia wagonjwa waliopata maambukizi kwenye milija na ovari, ni wagonjwa waliopata maambukizi kwenye milija na ovari.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya roghage
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi matokeo ya maumivu makali , kuna wakati mwingine mgonjwa anapata maumivu makali ya viungo na dawa mbalimbali uweza kutolewa kwa mgonjwa huyo lakini matokeo yake huwa ni kuendelea kwa maumivu kwa hiyo yafuatayo ni matokeo ya maumivu
Soma Zaidi...