Bongoclass

Mke wa Mtu Ep 1: Mwanzo wa mkasa
FEATURED STORY

Mke wa Mtu Ep 1: Mwanzo wa mkasa

Katika kijiji kilichokumbwa na kiu ya maji, kijana mmoja anaingia kwenye foleni ndefu ya kisima. Lakini pale anapofika zamu yake, ndoto na furaha zake zinapokonywa......

Soma Makala

Makala Mpya

Faida za kula tikiti

Ukubwa wa tikiti unasadifu yaliyopo, kwani kuna fgaida akubwa sana za kiafya katika kula tikiti...

Faida za kula limao

Usiwashangae wanaokula lima, kwa hakika kuna faida kubwa kiafya kula limao, je unazijuwa faida hizo...

Faida za kula Embe

Embe ni katika matunda atamu na yenye faida kubwa kiafya, soma makala hii hadi mwisho...

About

Kuhusu Bongoclass

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.

Mchanganyiko