Posti hii inahusu zaidi chanzo cha mvurugiko wa hedhi, Kuna kipindi hedhi uvurugika kabisa, pengine unaweza kupata hedhi mara mbili kwa mwezi au kukosa au pengine siku kuwa zaidi ya tano mpaka Saba au kuwa chache, hali hii utokea kwa sababu mbalimbali tut
1. Mtu kupata hofu, furaha au woga na mabadiliko ya kisaikolojia.
Kuna kipindi utokea mtu anaweza kupata furaha ya ghafla akafanya hata na mwili mzima kubadilika au akapata huzuni ya ghafla akasabisha hata mwili nao kubadilika kwa kufanya hivyo usababisha na hedhi kuvurugika au kwa wakati mwingine mtu anakuwa ametendewa ukatili wa hali ya juu na kuhisi hali isiyo ya kawaida na hiyo ufanya hedhi kubadilika.
2. Uwepo wa uvimbe kwenye kizazi.
Kuna wakati mwingine kunakuwepo na uvimbe kwenye kizazi na uvimbe huo unaweza husioneshe Dalili yoyote ile na mtu akawa anaendelea na maisha lakini dalili ya hedhi kuvurugika ni vizuri kabisa kupata vipimo Ili kuweza kuangalia kama ni uvimbe kwenye kizazi.
3. Matatizo katika mfumo wa homoni.
Kuna wakati mwingine na homoni ufanya mabadiliko au mvurugiko wa hedhi kwa sababu Kuna wakati mwingine hakuna hedhi kabisa Ina maana yai halikutoka kwenye ovaries, na Kuna wakati mwingine unapata hedhi mara mbili kwa mwezi Ina maana mayai mawili yaliyotokea, kwa hiyo na mabadiliko ya homoni ni tatizo kubwa.
4. Kuharibika kwa mimba zisizojulikana,
Kuna wakati mwingine mimba inaweza kutungwa ndani ya mwezi mmoja ikatoka kwa hiyo unaweza kupata damu ambazo hazina moangilio maalumu,
5. Kwa hiyo baada ya kuona sababu za kufanya mabadiliko kwenye hedhi ni vizuri kabisa kumtambua kwamba kama Kuna tatizo lolote ambalo linaweza kutokea ni vizuri kupata vipimo na kugundua ni shida gani iliyofanya nipoteze damu mara mbili kwa mwezi,au damu isitokea au kuendelea kuwepo kwa tatizo la kutoka mimba mara Kwa mara , baada ya kufanya hayo yatakusaidia kuweza kuendelea na afya nzuri kabisa.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowKuzaliwa kabla ya wakati humpa mtoto muda mdogo wa kukua tumboni. Watoto waliozaliwa kabla ya wakati, hasa wale waliozaliwa mapema, mara nyingi huwa na matatizo magumu ya matibabu.
Soma Zaidi...Posti inahusu zaidi mazoezi ya kegel, ni mazoezi ambayo ufanywa na watu wengi na sehemu yoyote yanaweza kufanywa kama vile chumbani, sebuleni, uwanjani na sehemu yoyote ile na kwa watu tofauti.
Soma Zaidi...Dalili za kuharibika kwa ujauzito na dalili za kuharibika kwa ujauzo
Soma Zaidi...Saratani ya matiti ji moja kati ya saratani zinazosumbuwa wqnawake wengi. Katika somo hili utajifunza chanzo cha kutokea saratani ya matiti
Soma Zaidi...Tafiti zinaonesha kuwa karibia asilimia 10% mpaka 25% ya wanawake wanaopata ujauzito, mimba zao hutoka.
Soma Zaidi...Je na wewe ni moja kati ya wake ambao wanahitajivkujuwa siku za kupata mimba. Ama siku za competes mwanamke mimba. Post hii ni kwa ajili yako.
Soma Zaidi...Je anapatwa maumivu 😠makali wakati wa tendo la ndoa ama ukiwa katika hedhi? Soma makala hii hadi mwisho
Soma Zaidi...Utajifunza sababu za kuweo kwa maumivu ya uume wbaada ya tendo la ndoa na wakati wa tendo la ndoa.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu za kupasuka kwa mfuko wa uzazi hasa mama anapokalibia kujifungua.
Soma Zaidi...inaweza kutokea kuwa mtoto aliye tumboni akaishiwa maji hata kabla ya kuzaliwa. yes hali hii huweza kuwapata baadhiya watoto.
Soma Zaidi...