Ni muda gani nitaanza kuona dalili za HIV na kilimo kitaonyesha kuwa nimeathirika?
Swali:
👉je maambukizi ya virus vya ukimwi yataonekana kwenye kupimo baada ya siku ngap??
👉na unaweza usione dalili za awali kama mlivyoeleza katika hatua ya mwanzo afu ukapima ukakuta una maambukizi??
👉Na je unaweza ukapata maambukiz ya virus vya ukimwi kwa kudondokewa na dam ya muathirika katika kidole chako ingawa hauna jeraha kidolen???
Jibu:
âœï¸Virusi vya ukimwi inategenea na aina muya vipimo ulivyitumi. Ila angalau wiki tatu unaweza kupima na ukajuwa kama umeathirika ama laa. Hata hivyo utahitajika kuhakiki vipimo baada ya miezi mitatu.
âœï¸ Ndio inawezekana usione dalili za kwanza za HIV na uwe umeathirika. Si kaka aliyeathirika utaona Dalili hizi.
âœï¸ kama umedondokewa na hiyo damu hapo ka hapo na hunamichubuko. Huwezi pata maambukizi. Ila kama jambo linakutatiza fika kituo cha afya uoatiwe sawa za awali za tahadhari.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii utokea huduma ya kwanza kwa mtu aliye na shida ya kushindwa kupitisha mkojo kutoka kwenye kibofu Cha mkojo,
Soma Zaidi...Fangasi hawa kitaalamu wanafahamika kama vagina yeast infection na majina mengine ya kitaalamu ni kama vagina candidiasis, u vulvovaginal candidiasis au candidal vaginitis.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kupatikana ikiwa mwili unaweza kujaa sumu, kwa sababu mwili unapaswa kuwa huru Ili kuweza kufanya vizuri kazi yake ila ikiwa utajaa Sumu Kuna hatari mbalimbali zinaweza kutokea kama vile.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi mambo yanayochangia katika makuzi ya mtoto, mtoto katika makuzi yake anahitaji kutunzwa vizuri Ili akue kwa afya nzuri bila magonjwa
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa Donda Koo ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea viitwavyo kwa kitaalamu corynebacterium diphtheria, ugonjwa huu ushambulia Koo na unaweza kuenea kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kwa njia ya hewa, mate na
Soma Zaidi...ugonjwa wa kisukari ni moja katika magonjwa hatari sana, na mpaka sasa bado hauna matibabu ya kuponya moja kwa moja
Soma Zaidi...Homa ya ini yenye sumu ni kuvimba kwa ini lako kutokana na kuathiriwa na vitu fulani ambavyo umeathiriwa navyo. Homa ya ini yenye sumu inaweza kusababishwa na pombe, kemikali, dawa za kulevya au viongeza vya lishe.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na sababu zinazosababisha kinjwa au mdomo kutoa harufu mbaya?
Soma Zaidi...