ALIF LELA U LELA.
ALIF LELA U LELA.
UTANGULIZI
![]()
Download kitabu Hiki Bofya hapa
Hizi ni hadithi zilizoenea duniani kote na zimekuwa zikisimuliwa kwa watot na hata watu wazima. Hadithi hizi zina asili ya bara la arabu. Hadithi hizi zimekuwa zikitafasiriwa kwenye lugha nyingi sana. Neno ALIF LELA U LELA lina maana miaka elfu moja na moja. Na hadithi hizi hufhamika kwa lugha ya kiingereza kama ARABIAN NIGHT.
Hadithi hizi zimetafasiriwa katika lugha nyingi mpaka katika lugha za kiswahili. Changamoto ya masimulizi haya ni kuwa yamesheheni lugha ngumu sana kulinganisha na uhalisia wa maisha yetu ya leo. Hivyo inakuwa vigumu kuelewa baadhi ya manenno nini hasa kimekusudiwa. Pia tamaduni zilizotumiwa na wahusika wa hadithi hizi ni za kiarabu, kihindi na kiajemi kiasi kwamba ni ngumu kuelewa baadhi ya vipengele.
Baada ya kuliona hili nimejaribu kutohoa hadithi hizi na kuziweka katika lugha iliyo rahisi kabisa na inayoendana na mazingira ya wakati huu. Hadithi hizi nimezigawa kwenye vitabu kadahaa na tayari kitabu cha kwanza kimekamilika kikiwa na hadithi zaidi ya 60. Unaweza kupata hadithi hizi kama PDF kwa bei poa.
Umeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo wa safari saba za Sinbad
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukuletea hadithi za alifu lela ulela
Soma Zaidi...Download kitabu Hiki Bofya hapa HADITHI YA JINI NA MFANYA BIASHARA.
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukuletea hadithi za alifu lela ulela
Soma Zaidi...Download kitabu Hiki Bofya hapa HADITHI YAKISIWA CHA MAWE YANAYOLIA.
Soma Zaidi...Download kitabu Hiki Bofya hapa USALITI UNANZA HAPA Baada ya kukaa pale siku moja nahodha akaamrisha chombo kiondoke pale na kurudi nyumbani.
Soma Zaidi...