Thibitisha akaunti yako kwa hatua za usalama kama kutumia nenosiri imara, kuweka uthibitisho wa hatua mbili (2FA) kwa kutumia authenticator,...
Katika somo hili tutaeleza maana ya AMP (Accelerated Mobile Pages), jinsi inavyofanya kazi, faida zake katika SEO, changamoto zake, na...
Katika somo hili utaenda kujifunza namna ya kuunganisha mafaili mengi ya project na kuyaweka kwenye faili moja tu na kuweza...
Katika Somo hili la nane utaenda kujifunza namna ya kuchambua data kwenye database yetu kwa kupata jumla ya kiasi cha...
Katika somo hili utakwenda kujifunza namna bora ya kufuta data kutoka kwenye database
Karibu kwenye somo la sita! Leo tunajifunza UPDATE, amri ambayo inaruhusu kubadili au kusasisha data iliyopo tayari kwenye meza (table)...
Katika somo hili tutaenda kujifunza jinsi ya kusoma (Read) data kutoka kwenye database yetu
Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuingiza data kwenye table na database tuliyoiunda katika somo lililopita
Katita somo hili sasa tutaenda kujifunza namna ya kuunda table kwenye database ya SQLITE kwa kutumia Python
Bipolar disorder ni hali ya afya ya akili inayohusisha mabadiliko makubwa katika hisia, nishati, na shughuli za kila siku za...
Schizophrenia ni ugonjwa wa akili ambao huathiri jinsi mtu anavyofikiri, kuhisi, na kuamua. Dalili za schizophrenia zinaweza kuwa kama ifuatavyo...
Post hii unahusu mtu mwenye ugonjwa wa akili ambao huitwa ugonjwa wa wasiwasi Kwa kitaalamu huitwa anxiety,ni pale mtu anapokuwa...
Karibu ujifunze Python Sqlite na muunganiko wa Database (Database Connection)
Unyogovu (Depression ) ni mojawapo ya ugonjwa wa akili ambao unahusishwa na hisia za huzuni, kukosa matumaini, na kupoteza furaha...
Afya ya akili ni hali ya mtu kuwa na akili timamu kiroho,kimwili ,na Kwa mazingira yake yote yaliyomzunguka na anaweza...
Katika somo hili tutajifunza utangulizi wa SQLITE na jinsi ya kuitumia katika python
Vidonda kwenye uume vinaweza kusababishwa na maambukizi ya magonjwa ya zinaa (STIs) kama kaswende na herpes, maambukizi ya fangasi au...
Virusi vya UKIMWI (VVU) haviwezi kuishi muda mrefu nje ya mwili wa binadamu. Mara damu au majimaji yenye virusi yanapotoka...
Ingawa mbu hunyonya damu kwa binadamu, hawana uwezo wa kueneza virusi vya UKIMWI (VVU). Sababu ni kwamba virusi vya VVU...
Duniani kuna aina nyingi za nyoka, lakini wachache wao ndio wanaojulikana kwa sumu kali inayoweza kuua haraka. Miongoni mwao ni...
Ingawa nyoka hawana masikio ya nje kama binadamu na wanyama wengine, bado wana uwezo wa kusikia. Hutumia mifupa ya kichwa...
Somo hili linaeleza dua ya mfalme ṭālūt (Talut) na jeshi lake dogo walipojitayarisha kupigana na jālūt (Jalut/Goliath) na jeshi kubwa....
Somo hili linahusu kauli ya Dhul-Qarnain iliyoelezwa katika Qur’an, ambayo ingawa si dua ya moja kwa moja, inabeba maana ya...
Somo hili linahusu dua ya vijana wachamungu waliokimbilia pangoni (Ashabul Kahf) ili kuokoa imani zao. Qur’an inasimulia jinsi walivyojitoa kwa...
Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.