Posti hii inahusu zaidi njia za kutambua Dalili za macho makavu, kama tulivyotangulia kuona kubwa macho kuwa makavu Usababishwa na sehemu ya kuzalisha maji kwenye jicho kushindwa kufanya kazi na jicho hilo huwa kavu na Dalili zake ni kama ifuatavyo.
1.Tukumbuke kuwa kwenye jicho kuna maji maji ambayo ufanya sehemu ya jicho kufanya kazi yake vizuri na kwa wakati ila kuna kipindi maji maji hayo yanapungua kwa sababu ya sehemu ambayo utengeneza maji maji hayo ushindwa kufanya kazi kwa hiyo tunaweza kuona dalili za jicho kavu kama ifuatavyo.
2. Macho yanakuwa mekundu.
Kwa sababu ya kutokuwepo kwa maji maji kwenye jicho sehemu yake utokea wekundu wekundu kwenye jicho ambao unaweza kuonekana moja kwa moja kutoka kwa mgonjwa.
3. Kiasi cha kuona kwa mgonjwa upungua.
Kuna wakati mwingine kiasi cha kupona kunapunguza inawezekana kuona kwa karibu au kuona kwa mbali kwa hiyo Mgonjwa uangaika sana wakati anapotaka kuona kitu.
4. Macho huwa na Matongo tongo.
Kwa kawaida macho ya mtu mwenye macho makavu huwa na Matongo tongo yasiyo ya kawaida na ya kuzudi kiasi hasa wakati wa asubuhi kwa hiyo tuwashauri waende hospitali ili kupata matibabu mapema na kuepuka madhara makubwa zaidi ambayo ya aweza kutokea.
5.Tatuzi lisipotibiwa mapema upofu unaweza kutokea kwa mgonjwa kwa hiyo ikitokea macho ya mgonjwa huwa makavu na Dalili za hapa zote zimejitokeza mgonjwa anapaswa kuwahi hospitali ili kuweza kupata matibabu kwa sababu Ugonjwa huu unatibika.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi magonjwa ya koo, ni ugonjwa unaoshambulia sana sehemu ya koo la hewa, na na huwa na dalili zake kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa vericose veini, hili ni tatizo ambalo utokea katika mzunguko wa damu hasa kwenye miguu.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa inni, hizi ni dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye ugonjwa wa inni, Dalili zenyewe ni kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Poliomyelitis ni kuvimba kwa suala la kijivu la uti wa mgongo na wakati mwingine sehemu ya chini ya ubongo
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na Ugonjwa wa upungufu wa Adrenali ni ugonjwa ambao hutokea wakati mwili wako hutoa kiasi cha kutosha cha homoni fulani zinazozalishwa na tezi zako za adrenali. ugonjwa huu hutokea katika makundi yote ya umri na huathiri
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea ikiwa Ugonjwa huu wa ukimwi ukishasmbaa kutoka sehemu moja kwenda nyingine na kuleta madhara makubwa kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Katika post hii utakwenda kujifunza zaidi khusu dalili za ukimwi ama HIV kwa wanaume
Soma Zaidi...Selulitis ni maambukizi ya ngozi ya bakteria ya kawaida, ambayo yanaweza kuwa mbaya. Cellulitis inaonekana kama sehemu nyekundu ya ngozi iliyovimba na inahisi joto na laini. Inaweza kuenea kwa kasi kwa sehemu nyingine za mwili. Cellulitis haienei kuto
Soma Zaidi...