Bongoclass

Mazoezi salama kwa mama mjamzito
FEATURED STORY

Mazoezi salama kwa mama mjamzito

Katika kipindi cha ujauzito, kufanya mazoezi kwa usahihi ni muhimu kwa afya ya mama na mtoto. Mazoezi haya yanasaidia kupunguza uchovu, kudhibiti uzito, kupunguza matatizo......

Soma Makala

Makala Mpya:

​Je, Fangasi Ukeni Huambukiza?

​Ugonjwa wa fangasi ukeni (Vaginal Candidiasis) ni miongoni mwa changamoto kubwa za kiafya zinazowasumbua wanawake wengi duniani. Swali kubwa ambalo......

Sababu za maumivu wakati wa kujamiiana

​Maumivu wakati wa kujamiiana (kitaalamu dyspareunia) ni tatizo linalowasumbua wanawake wengi, ingawa mara nyingi halizungumzwi wazi kutokana na unyanyapaa au......

About

Kuhusu Bongoclass

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.

Mchanganyiko