16.
16. Kuepuka Mabishano
Mabishano husababisha ugomvi, maudhi au kudharauliana. Mabishano yaweza kutibua mahusiano mzuri kati ya watu. Hivyo Uislamu unatukataza kubishana. Tunatakiwa tuzungumze na watu na kufahamishana mambo kwa hoja na sio kwa mabishano. Tunafundishwa katika Qur-an kuwa tukizungumza na watu ambao hawataki kuelewa bali wanafurahia ubishi tu, basi tusiendelee kuzungumza nao. Bali tuagane nao kwa salama.
βNa waja (wema) wa Rahman ni wale wanaotembea katika ardhi kwa unyenyekevu na wajinga wakisema nao, huwajibu βSalama β. (25:63)
Umeionaje Makala hii.. ?
Makala hii inakwenda kukutajia majina ya vijana saba wa pangoni
Soma Zaidi...Wakati wa Wafuasi wa masahaba (Tabi'ina)101-200 A.
Soma Zaidi...Haya ni matukio ya kihistoria yanayoamiika kutokea ndani ya masiku 10 ya Mfunguo tatu.
Soma Zaidi...Ibada yavfubga ni katika ibadavanbazo hufanya nakaribia dini zote kubwa. Ibada hii imekuwaikikabiliw na naswlo mengi.
Soma Zaidi...