Ratiba ya chanjo ya kifua kikuu

Ratiba ya chanjo ya kifua kikuu

Posti hii inahusu zaidi ratiba ya chanjo ya kuzuia kifua kikuu, hiii ni ratiba ambayo chanjo hii utolewa na ushauri mbalimbali utolewa ili kuweza kufanikisha kazi ya chanjo hii

Ratiba ya chanjo ya kuzuia kifua kikuu.

1.Tunajua wazi kuwa ugonjwa wa kifua kikuu ni ugonjwa ambao unaleta matatizo sana kwenye jamii hasa ikishambulia watoto uweza kuleta madhara makubwa kama vile kudumaa, kuokoa na mambo ya ukuaji kwa mtoto urudi nyuma kwa hiyo tunapaswa kupambana na ugonjwa huu ili kuweza kuwafanya watoto wakue kwa afya njema.

 

2.Chanjo hii utolewa mara moja tu pale mtoto anapozaliwa na kiwango cha kutoa chanjo huu ni kidogo sana kuliko chanjo nyingine ambacho ni sifuri nukta sufuri, sifuri tano na utolewa kwenye bega la kulia kwenye ngozi nya juu na Chanjo hii inapotolewa kovu lazima lionekane lisipoonekana chanjo urudiwa upya.

 

3.Wakati wa kutoa chanjo hii kuna maudhi madogo madogo yanaweza kutokea kama vile homa kali lakini homa hii isizidi masaa ishirini na manne na yakizidi na homa bado ipo mtoto anapaswa kupelekwa hospitalini kwa uangalizi zaidi .Na wakati mwingine mtoto anaweza kupata kipu kwenye bega yaani sehemu alipopatiwa chanjo kwa hiyo hilo jipya halipaswi kupasuliwa na ukiona sio la kawaida mpeleke mtoto hospitalini kwa uangalizi zaidi.

 

4.Kwa hiyo tunaona kwamba chanjo hii ina faida kubwa tunapaswa kuwapeleka watoto ili waweze kupata ili kuepuka kuwepo kwa kifua kikuu kwenye jamii na wale ambao hawaelewi wanapaswa kupewa elimu ili waweze kuacha imani potovu juu ya chanjo hizi zenye manufaa na umuhimu mkubwa kwenye jamii

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Huduma Main: Post File: Download PDF Views: 1769

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Simulizi za Hadithi Audio     👉3 Bongolite - Game zone - Play free game     👉4 Dua za Mitume na Manabii     👉5 web hosting     👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina    

Post zinazofanana:

Njia za kukabiliana na presha ya kupanda/hypertension

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kukabiliana na presha ya kupanda

Soma Zaidi...
Vyakula vya kuongeza nguvu za kiume

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume

Soma Zaidi...
Huduma ya Kwanza kwa aliyepatwa na presha ya kupanda

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na presha ya kupanda

Soma Zaidi...
Namna ya kutunza nywele za mgonjwa

Posti hii inahusu zaidi namna ya kutunza nywele za mgonjwa hasa kwa wagonjwa mahututi na wale wasiojiweza tunafanya hivyo ili tuweze kuwatoa kwenye hali ya usafi.

Soma Zaidi...
HUDUMA YA KWANZA KWA ALIYEPANDWA NA PRESHA

Presha ya kupanda hutokea pale kipimo kinaposoma zaidi ya 120/80mm Hg.

Soma Zaidi...
Utaratibu wa lishe kwa wazee

Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa wazee

Soma Zaidi...