Ni siku zipo huitwa  Aiyami tashriq?

Ni siku zipo huitwa Aiyami tashriq?

Aiyami ni wingi wa neno yaumi kwa maana siku. Kwenye uislamu Kuna masimu matukufu kama vile masimu ya tashriq. Je ni yapi hayo? Endelea na makala hii.

Hizi ni siku tatau AMBAZO zinapatikana katika mwezi Dhul-Hija (mfunguo tatu). Masiku yaya ni kuanzia mwezi 10, 11 na 12.

 

Katika masiku haya waislamu watakiwa wanachinja mchana kwa mwenye kuweza. Hii ni ibada ya kuchinjwa iliyotakwa kwenye Quran mfano surat Al Kawthar.

 

Mnyama anayepasa kuchinjwa kwa ajili ya ibada hii ni ng'ombe, mbuzi, kondoo na ngamia. Na mnyama huyi hatakiwi kuwa na aibu.

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2026-05-27 07:20:22 Topic: Sunnah Main: Post File: Download PDF Views: 275

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Simulizi za Hadithi Audio     👉2 Dua za Mitume na Manabii     👉3 Bongolite - Game zone - Play free game     👉4 ai web app     👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    

Post zinazofanana:

Dua Sehemu ya 01

Zijue fadhila za kuomba dua, tambua umuhimu na mahimizo juu ya kuomba dua?

Soma Zaidi...
NYAKATI AMBAZO DUA HUJIBIWA

NYAKATI AMBAZO DUA HUJUBIWA.

Soma Zaidi...
Vyanzo vitano vya elimu zote duniani: Chanzo cha Elimu ni Allah (s.w)

Kama tunavyojifunza katika surat ‘Alaq (96:4-5), chanzo cha elimu au mkufunzi wa binadamu ni Allah (s.

Soma Zaidi...
WACHA KILE ULICHO NA SHAKA NACHO NA FANYA USICHO NA SHAKA NACHO

عَنْ أَبِي مُحَمَّدٍ الْحَسَنِ بْنِ عَلِيِّ بْنِ أَبِي طَالِبٍ سِبْطِ رَسُولِ اللَّهِ صلى الله عليه و سلم وَرَيْحَانَتِهِ رَضِيَ اللَ...

Soma Zaidi...