Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula fenesi
. Faida za kiafya za kula fenesi
1. lina virutubisho vingi kama vitamini A, na C, pia kuna wanga
2. Huimarisha mfumo wa kinga
3. Ni chakula kinachotia nguvu
4. Huboresha afya ya moyo na mishipa ya damu na kuthibiti presha
5. Huzuai kukosa choo
6. Huzuia mwili dhidi ya kupata saratani
7. Huboresha afya ya macho
8. Husaidia kuimarish afya ya mifupa
9. Husaidia kuzuia pumu
10. Ni zuri kwa afya ya ngozi
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula bamia
Soma Zaidi...Hapa utajifunza kuhusu kazi za protini mwilini na vyakula vipi vina protini kwa wingi
Soma Zaidi...Makala hii inakwenda kukueleza faida za kula maboga, na mbegu zake kwa afya yako
Soma Zaidi...